Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MGOMBEA URAIS WA CCM AWASILI DAR

$
0
0
Mgombea Mwenza wa CCM, Samia Hassan Suluhu akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Dodoma pamoja na mgombea wa Urais kupitia chama hicho, John Pombe Magufuli (kulia).
Mgombea wa Urais kupitia CCM, John Pombe Magufuli akizungumza na waandishi wa habari kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Dodoma.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>