TTCL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KATIKA SHULE YA SEKONDARI LUSWISWI...
Meneja wa TTCL Mkoa wa Mbeya, James Mlaguzi akisoma taarifa ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo katika shule ya Sekondari Luswisi. Mbunge wa Ileje aliyemaliza muda wake,Aliko Kibona akitoa shukrani...
View ArticleMAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI
Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi...
View ArticleOFISI YA RAIS, TUME YA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO
Mapema wiki iliyopita Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango ilitembelea miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini ili kukagua utekelezaji wake. Miradi hiyo ni pamoja na Kituo cha kuzalisha samaki...
View ArticleMWANASHERIA LUSAJO WILLY AJITOSA UBUNGE KINONDONI
Mgombea ubunge jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Lusajo Willy akijaza akiwa na fomu yake mara baada ya kuchukua katika Ofisi Kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni leo. Mgombea ubunge jimbo la Kinondoni...
View ArticleHOMA YA MICHUANO YA KAGAME YAZIDI KUPAMBA MOTO
Homa ya michuano ya Kagame inazidi kupamba moto kufuatia vilabu mbalimbali zinazoshirki michuano hiyo kuanza kuwasili jijini Dar es salaam zikiwa na vikosi vyao kamili kwa lengo la kusaka Ubingwa wa...
View ArticleWAZIRI WA SIERRA LEONE ATEMBELEA HOSPITALI YA KAIRUKI
Waziri wa Kazi Viwanda na Ustawi wa Jamii wa Sierra Leone Dk. Methew Teambo akiwa Ndani ya chumba cha CT SCAN machine ya kisasa inayotumika kuchunguza maradhi mbalimbali ya binadamu alipotembelea...
View ArticleMsanii Maarufu wa Filamu Ajiunga na ACT Wazalendo
Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi kadi na katiba msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya...
View ArticleSIMBA DAY 2015 SIMBA KUCHEZA NA AFC LEOPARDS, KIINGILIO BURE
Rais wa Simba, Evans Aveva akimkabidhi kadi mpya ya uanachama wa Simba msanii wa Bongo Move, Yvonne Cherrie 'Monalisa' wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa Mtendaji...
View ArticleAMON MPANJU AJITOSA KUGOMBEA JIMBO LA KAWE
Mwenyekiti wa wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Amon Anastaz Mpanju ambaye pia alikuwa Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba Mpya amejitokeza hii leo sambamba na wana CCM...
View ArticleMWANASHERIA MAKENE AREJESHA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KINONDONI
Mwansheria na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Makene (katikati) akiwa ameambata na mkewe Dk. Sarah Makene kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya wana CCM Kinondoni kuteuliwa kugombea Ubunge katika...
View ArticleMwandishi wa Habari Kambi Mbwana achukua fomu ya ubunge Handeni Vijijini
Mwandishi wa Habari za Michezo na mdau wa maendeleo ya wilaya ya Handeni, Kambi Mbwana, mwenye fulana ya CCM, akikabidhiwa fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Handeni Vijijini kwa tiketi ya Chama Cha...
View ArticleMAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBARA AKABIDHI BOTI ZA UVUVI KWA VIJANA
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar akimkabidhi Boti na Mshine yake Kiongozi wa Vijana Sita wa Kijiji cha Fujoni walioamua kuacha matumizi ya Dawa za kulevya.XXXXXXXXXXXXXXMakamu wa Pili wa Rais wa...
View ArticleCHIKULUPI ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM,VIJANA -MBEYA ,ATOA...
Bi. Chikulupi Njelu Kasaka Mgombea Ubunge Viti Maalum Vijana Mbeya Bi. Chikulupi Njelu Kasaka (Kushoto) akikabidhiwa Fomu ya Kuomba Ridhaa kuteuliwa kugombea Ubunge wa Viti maalum Vijana Mbeya na...
View ArticleYANGA YAANZA VIBAYA MICHUANO YA KAGAME YACHAPWA 2-1 NA GOR MAHIA
Golikipa wa Gor Mahia, Boniface Oluoch akiokoa penalti iliyopigwa na benki wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'. (Picha na Francis Dande)Beki wa Gor Mahia ya Kenya, Sibomana Abouba akimzuia mshambuliaji...
View ArticleWAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAJITOKEZA KUMLAKI KWA SHANGWE DKT MAGUFULI JIJINI...
Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia Wananchi wa jiji la Mwanza waliojitokeza kwa wingi jioni ya leo.Mgombea Uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM),Mh.Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia...
View ArticleMHARIRI WA GAZETI LA MTANZANIA,KHAMIS MKOTYA ACHUKUA FOMU ZA UBUNGE KUPAMBANA...
Mhariri Msanifu wa Gazeti la Mtanzania,Khamis Mkotya akipokea fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea nafasi ya Ubunge katika wilaya ya Chemba kutoka kwa Katibu wa Wilaya hiyo CCM,Asia Mohammed jana katika...
View ArticleMTEMVU APOKEA MSAADA
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Good One, Wu Ya Hui (kushoto), akimkabidhi msaada wa vyakula na nguo, sabuni na vyombo Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu vilivyotolewa kwa Kituo cha Kulelea...
View ArticleGharama za Udiwani, Ubunge zawaudhi watia Nia Dodoma.
Na Bryceson Mathias, Kilimani DodomaGHARAMA za Laki. 110,000/- kwa Fomu ya Udiwani, na Sh.600,000/- kwa Ubunge, zimewaudhi Watia Nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wasiokuwa na Kipato, kwamba kwa hatua...
View ArticleKOCHA SIMBA KUZISOMA YANGA, AZAM KAGAME
NA CLEZENCIA TRYPHONEKOCHA Mkuu wa Klabu ya Simba Dylan Kerr amesema atahakikisha anaifuatilia michuano ya Kombe la Kagame iliyoanza kutimua vumbi juzi hasa zikishuka dimbani Yanga, Azam FC na KMKM za...
View Article