CBA YAIBUKA BINGWA MASHINDANO YA SOKA YA MABENKI NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Baadhi ya wafanyakaz wa CBA Tanzania na Mkombozi wakishangilia uhamasisha timu zao uwanjani.Mkurugenzi wa CBA Tanzana Julius Mcharo akibadilishana mawazo na Meneka Masoko wa Benki ya Mkombozi grace...
View ArticleSIMBA YAZINDUA KADI MPYA ZA KI-ELKTRONIKI KWA WANACHAMA WAKE
Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Rais wa Simba Evans Aveva alisema ‘’Simba inaendeleza falsafa yetu ya utendajii kifanya kazi ‘’maneno machache vitendo vingi’’, baada ya kuboresha upatikanaji wa...
View ArticleBENKI YA CRDB YAVUTIA WENGI MAONYESHO YA SABASABA
Dar es Salaam, Tanzania BENKI ya CRDB imewataka Watanzania kutembelea banda lao ili kupata huduma mbalimbali za Fedha.Akizungumza katika Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa maarufu kama sabasaba...
View ArticleDC Mwanga Kuwatoa Hofu na Kuwapongeza Wananchi
Na Bryceson Mathias, Kibindu BagamoyoKUFUTIA Kukamatwa na Kuuawa kwa Magaidi, ambapo jana Matatu yalidakwa na Polisi na Silaha ya SMG, Risasi 50, Nondo Fupi 45 na Mabomu, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,...
View ArticleKAMPUNI YA MABIBO BEER YAIDAI TUME YA USHINDANI (FCC) SH.TIRIONI MOJA
Mshauri wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, James Rugemalira akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu kupinga uamuzi wa tume ya ushindani...
View ArticleNYALANDU ARUDISHA FOMU ZA WADHAMINI
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa na mkewe baada ya kurudisha fomu za wadhamini kwa ajili ya kuomba kuteuliwa kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya ya CCM. Kushoto ni Naibu...
View ArticleNI MSIBA TENA JAMBO CONCEPTS (T) LTD, WACHAPISHAJI WA GAZETI LA JAMBO LEO
Na Dotto MwaibaleKAMPUNI ya Jambo Concepts (T) Ltd, inayochapisha magazeti ya Jambo Leo, Staa Spoti na Jarida la Jambo Brand, limempoteza mfanyakazi wake mwingine wa idara ya masoko, Kinai Mtinda...
View ArticleBENKI YA CRDB YASAIDIA KAMATI YA AMANI YA DINI
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza wakati wa hafla fupi ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni 12 kwa ajili maandalizi ya Futari...
View ArticleAPPRECIATION
The family of the late Judge(Rtd) Anthony Bahati of Oysterbay - Dar es-salaam would like to express our heartfelt thanks to relatives, friends, neighbours, and well wishers who joined us...
View ArticleOMBI LA MSAADA WA HALI NA MALI; KIJANA ABEL MACHANGA ANAHITAJI MSAADA WA...
Kijana Abel Machanga mwenye umri wa miaka 24 amelazwa Hospital ya Taifa Muhimbili Wodi ya Sewahaji,chumba namba 19, Kitanda namba 28 kwa tatizo la uvimbe kwenye ubongo ambalo limesababisha macho yake...
View ArticleSTARS YAWAFUATA THE CRANES
Kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa (katikati) akiongea na waandishi wa habari leo.Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager inaondoka nchini leo...
View ArticleUTT PID yatoa huduma za uuzwaji wa fomu za viwanja
Na Mwandishi WetuTaasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) ipo kwenye Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar-es-salaam, yanayoendelea katika mabanda...
View ArticleLOWASSA ARUDISHA FOMU LEO MJINI DODOMA, ATEMA CHECHE KWA WANAOMTUHUMU
WAZIRI Mkuu Mstafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa, amerejesha fomu za kuomba kuteuliwa kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajiwa...
View ArticleNSSF yatoa huduma za afya bure Maonesho ya Sabasaba
Dk. Suzan Lymo toka Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam (wa kwanza kulia) akimuhudumia mteja akipatiwa huduma za afya bure zinazotolewa na NSSF. Mmoja wa Maofisa wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya...
View ArticleZANTEL YATOA SH.MILIONI 5 KUSAIDIA CHAMA CHA MAALBINO TANZANIA KUTOA ELIMU...
Mkurugenzi Mkuu wa Zantel, Pratap Ghose (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu ushirikiano wao na chama cha Maalbino Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko wa...
View ArticleDC MAVUNDE AZINDUA MASHINDANO YA MPIRA WA MIGUU MPWAPWA
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya...
View ArticleMUSLIM AWATAKA WAKAZI WA ILALA KUJITOKEZA KATIKA ZOEZI LA KUJIANDIKISHA...
Mjumbe wa Bodi ya wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambaye pia ni mtia nia wa Jimbo la Ilala, Muslim Hassanali, akihutubia leo mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya...
View ArticleKIIZA ATUA DAR, KUSAJILIWA NA SIMBA
Mshambuliaji wa Kimataifa kutoka Uganda, Hamis Kiiza (wa pili kulia) akiwasili leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya...
View ArticleNYALANDU AFUNGUA MKUTANO WA WMA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii wakati alipofungua mkutano wa majadiliano kuhusu uboreshaji wa mfumo wa usimamizi na...
View ArticleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU (MB), AFUNGUA MKUTANO WA SIKU...
Imetayarishwa na theNkoromo Blog WAZIRI waMaliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akisalimiana na baadhi ya wadau wa masuala ya uhifadhi na utalii alipowasili kufungua mkutano wa majadiliano kuhusu...
View Article