WAZIRI wa Ardhi William LUKUVI AFANYA ZIARA mkoani IRINGA KUTATUA MIGOGORO YA...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mh. William Vangimembe Lukuvi akiongea na wananchi waliojitokeza kuwasilisha kero zao katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mkoani Iringa. Alisisitiza kuwa...
View ArticleNYALANDU KATIKA HARAKATI ZA KUTAFUTA WADHAMINI ARUSHA LEO
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, na mkewe Faraja, wakilakiwa na mamia ya wanachama wakati wakiwasili kwenye Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kuomba udhamini kwa...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam.
View ArticleRAIS SHEIN APATA FUTARI NA WAFANYAKAZI WA WIZARA ZILIZO CHINI YA OFISI YAKE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili viwanja vya Ikulu kuhudhuria...
View ArticleRAIS KIKWETE KATIKA HAFLA YA MIAKA MIWILI YA KUTAWAZWA KWA POPE FRANCIS KUWA...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Balozi wa Vatican na Mwakilishi wa Papa nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padilla kwenye sherehe za kuadhimisha miaka miwili ya kutawazwa Papa Francis kuwa...
View ArticleCHADEMA MOSHI VIJIJINI WARUDISHA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE NA UDIWANI
Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Moshi vijijini,Godlisen Maramia akipokea fomu kutoka kwa Deogratius Mushi ya kuwania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini wakati aliporudisha katika ofisi za...
View ArticleWANAHABARI WAPEWA SEMINA KUHUSU MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA
Kaimu Mkurugenzi Magonjwa Yasiyoambukiza wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Auson Rwehimbiza (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kwenye semina ya siku moja kuhusu...
View ArticleNyambui awaaga watanzania akisononeka
Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Suleiman Nyambui (kushoto) akikabidhiwa suti ya michezo yenye bendera ya Tanzania kutoka Meneja Mauzo wa Kampuni ya Isere Sports, Abbas...
View ArticleMKUTANO WA Wajibu wa Vyombo vya Habari katika kukuza utalii WAFANYIKA LEO...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa,Ndugu Allan Kijazi akizungumza jambo,wakati wa ufunguzi wa Warsha ya Wahariri wa Habari Tanzania,mapema leo asubuhi jijini Mwanza.Ndugu Kijazi alisema...
View ArticleSHABAN KISIGA AJIUNGA NA RUVU SHOOTIG
Aliyekuwa mshambuliaji wa Simba, Shaban Kisiga (pichani) amejiunga na klabu ya Maafande wa Ruvu Shooting kwa mkataba wa mwaka mmoja ili kuinusuru kuirejesha ligi kuu.Kisiga aliondoka Simba baada ya...
View ArticleBANDA LA NSSF LAWA GUMZO MAONYESHO YA KIMATAIFA YA 39 (SABASABA) VIWANYA VYA...
Mmoja wa wateja waliotembelea Banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) katika Maonesho 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba akihudumiwa na Meneja Kiongozi Masoko na Ushirikiano wa, Bi....
View ArticleMKUU WA MAJESHI MSTAAFU JENERARI SARAKIKYA APEWA TUZO YA HESHIMA NA TANAPA...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu aki mkabidhi tuzo maalum ya heshima Mkuu wa Majeshi mstaafu Jenerali Sarakikya akiwa na mkewe kwa kupanda mlima Kilimanjaro mara 38, Jenerari Sarakikya...
View ArticleUSAFIRI UNAOTUMIKA KUSAFIRISHA ABIRIA MKOANI GEITA ENEO LA BUSERESERE NI...
Gari Aina ya Pro Box Ikiwa tayari kusafirisha abiria Wakazi wa Mkoa wa Geita maeneo ya buseresere na katoro wapo katika hatari kubwa ya maisha yao kutokana na usafiri wanaoutumia kutoka eneo moja...
View ArticleAkamatwa na Risasi 10 Kibindu, wanne watoroka
Na Bryceson Mathias, KibinduMTU mmoja amekamatwa ndani ya msitu wa Kata ya Kibindu aliyefahamika kwa jina la Ally Ayubu ambaye licha ya kukutwa na kisu pia alipopekuliwa alikutwa na risasi 10.Katibu...
View ArticleBENKI YA CBA TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE DAR
Baadhi ya wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipakua chakula cha futari iliyoandaliwa kwa ajili yao kwenye hoteli ya serena mwishoni mwa wiki Wateja wa Benki ya CBA Tanzania wakipata futari...
View ArticleLOWASSA AHITIMISHA ZIARA YA KUTAFUTA WANACCM WA KUMDHAMINI MKOANI MOROGORO...
Sehemu ya WanaCCM na wakazi wa Mji wa Morogoro, wakiwa wamekusanyika nje ya Ofisi za CCM Mkoa huo, kumlaki Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa, pindi...
View ArticleWALIOMUUA ALBINO MWAKAJILA WA MBEYA LEO WAMEHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA
Hakimu Mwakalinga siku alipohukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa mauaji ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe. Leo amehukumiwa tena kunyongwa mpaka kufa katika mauaji ya mlemavu wa ngozi Henry...
View ArticleDiwani afanikisha Magaidi watatu kukamatwa
Adai walikuwa na SMG, Risasi 50, Jambia na MabomuNa Bryceson Mathias, KibinduDIWANI wa Kata ya Kibindu, Ramadhani Mfikilwa Mkufya (CCM), alimaarufu Mawazo, amefanikisha kukamatwa kwa Magaidi watatu...
View ArticleCECAFA YATOA RATIBA YA KAGAME 2015
Rais wa Baraza la Vyama vya Soka kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati, Leodgar Tenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu michuano ya CECAFA.Rais wa Baraza la Vyama vya...
View Article