Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

NYALANDU KATIKA HARAKATI ZA KUTAFUTA WADHAMINI ARUSHA LEO

$
0
0
 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, na mkewe Faraja, wakilakiwa na mamia ya wanachama wakati wakiwasili kwenye Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kuomba udhamini kwa wanachama wenzake. Nyalandu anawania kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye nafasi ya urais.

Trending Articles