Mamlaka ya usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) watia fola maonesho ya wiki ya...
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Charles Chacha (mwenye suti) akiwa katika picha na waongoza ndege wakati alipotembelea kwenye banda la Tcaa liliopo kwenye Maadhimisho ya...
View ArticleAnsaf, RCT waishauri Serikali ushuru wa mchele
Mkurugenzi Mtendaji wa Ansaf, Audax Rukonge akizungumza na waandishi wa habairi jijini Dar es Salaam, kwenye mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili wakulima wa mchele,Mwenyekiti wa...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI IKULU LEO
Rais Jakaya Kikwete akimtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, Balozi Libereta Mulamula katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Kikwete akimpongeza Balozi...
View ArticleMKWASA KOCHA MPYA STARS, NOOIJ AWAAGA WATANZANIA
Rais wa TFF Jamal Malinzi akizungumza na waandishi wa habari wakati akimtangaza kocha mpya wa Stars, Charles Boniface Mkwasa. (Picha na Francis Dande) Rais wa TFF, Jamal Malinzi akitafakari jambo....
View ArticleViongozi wa dini: Kikwete simamisha Muswada wa Habari
Na Bryceson Mathias, DodomaWAJUMBE 205 wa Kamati ya Maadili ya Amani na Haki ya Jamii ya Viongozi wa Dini nchini, wameitaka Serikali kusimamisha Muswada wa Uhuru wa Kupata Habari kujadiliwa bungeni kwa...
View ArticleMkwasa atambulishwa rasmi
Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine akimtambulisha rasmi kocha mkuu wa taifa stars, Charles Boniface (kushoto), wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni kocha...
View ArticleTPB YAZINDUZ HUDUMA LAAMU YA AKAUNTI KWA VIKUNDI VISIVYO RASMI
Katika jitihada za kuwafikia Watanzania mbalimbali Benki ya Posta Tanzania (TPB) imezindua akaunti maalum kwa ajili ya Vikundi Visivyo Rasmi. Uzinduzi huo ulifanywa na Katibu Mtendaji wa Shirika la...
View ArticleRAIS KIKWETE ATUNUKU NISHANI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WANANCHI MBALIMBALI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mhe. Abbas Kandoro baada ya kumtunuku nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza, ambayo hutolewa kwa wananchi waaminifu ambao kwa kujitolea kwao...
View ArticleNASSARI AMALIZA MIKUTANO YA KUHAMASISHA WANANCHI KUJITOKEZA KUJIANDIKISHA
Rubani wa Helkopta akimfunga mkanda Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar kabla ya kuanza safari ya kuelekea katika mikutano ya hadhara ya kuhasisha wananchi kujitokeza kujinadikisha...
View ArticleVILABU VYATAKIWA KUWALIPIA KODI, WALIMU NA WACHEZAJI
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeviagiza vilabu vinavyoshiriki Ligi kuu ya nchini (mpira wa kulipwa) Tanzania, kuhakikisha kuwa wanalipa kodi kutokana na kuajiri makocha na wachezaji kutoka ndani na...
View ArticleCRDB kuanza kuuza Hisa Stahili Juni 26
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akifungua mkutano wa wanahisa wa benki hiyo katika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Katibu wa Benki ya...
View ArticleMKOA WA DAR ES SALAAM WAMDHAMINI MEMBE
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akionyesha fomu zilizojazwa na wanaCCM wa Mkoa wa Dar es Salaam zaidi ya 1,500 kwa ajili ya kumdhamini ili...
View ArticleBREAKING NEWS, MHARIRI WA MWANAHALISI ONLINE AFARIKI DUNIA
Mhariri wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), amefariki Dunia kwa ajali ya moto nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam leo hii majira ya saa moja kasorobo jioni, baada ya kulipukiwa na...
View ArticleTADWU CHAMKABIDHI RASIMU YA MKATABA WA MABORESHO YA MASLAHI YAO KWA MLEZI WAO...
Mlezi wa chama cha wafanyakazi madereva Tanzania (TADWU), Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati), akizungumza na madereva kabla ya kukabidhiwa rasimu ya maboresho ya maslahi ya madereva...
View ArticleVibe magazine is Now for Free
A prominent entertainment monthly magazine The Vibe which published by ABC Bros was re launched and now will be distributed free to the readers. This will make it Tanzania’s number 1 FREE...
View ArticleChadema yakomba 300 toka CCM Kikombo, Chololo.
Na Bryceson Mathias, Kikombo ChamwinoCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Kikombo Wilaya ya Chamwino Dodoma, kimekomba Wanachama 300 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wa Vijiji vya Kikombo na...
View ArticleKOMREDI KINANA ASABABISHA WAPINZANI LUKUKI KUHAMIA CCM MAGU
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipokea kadi za vyama vya upinzani kutoka kwa watu waliovihama vyama hivyo na kujiunga na CCM, katika mkutano wa hadhara akatika Mji wa Kisesa, wilayani Magu,...
View ArticleMAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA...
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa....
View Article