Baba mzazi wa Simon Msuva, Mzee Happygod Msuva (katikati) akiinua tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu (VPL 2014-2015) kwa niaba ya mwanawe. Kulia ni Mama Msuva, Susan Happygod na kushoto mgeni rasmi, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam juzi. (Na Mpiga Picha Wetu)
↧