Quantcast
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

ASKOFU; NI BAJETI NILIYOISHANGAA, HAISEMI UKWELI

Walalahoi na Wadau;  Bajeti inatuumiza na ina maneno matupu..!!Na Bryceson Mathias, Mvomero, Morogoro.ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kipentekosti na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Amani na Haki za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND KUIBEBA VIDEO YA KIMADOIDO

NA ELIZABETH JOHNMFALME wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nassib Abdul ‘Diamond Platnumz’ ndiye atakayegharamia gharama za kutengeneza video ya ngoma ya ‘Cheza Kimadoido’ iliyoimbwa na kundi la Yamoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

STARS YAWASILI BORG EL ARAB, KUWAVAA MISRI KESHO

Kikosi cha Stars kikijifua.Msafara wa timu ya Taifa ya Tanzania (taifa Stars) inayodhaminiwa na kampuni ya bia ya Kilimanjaro Premium Lager tayari umewasili salama katika eneo la Borg El Arab jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWAMNYANGE AZINDUA BARAZA LA USHAURI TCAA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamyange akizungumza wakati wa uzinduzi wa Baraza la Ushauri wa Watumiaji wa Huduma ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) na semina ya wadau wa usafiri wa...

View Article

Chadema; Tumejipanga kukabili Njama za Ulaghai wa BVR-Morogoro

 Na Bryceson Mathias, MorogoroKATIBU wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Morogoro, Samuel Kitwika, amesema, kutokana na uandikishaji wa wapiga kura katika daftari la kudumu kwa mfumo wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LOWASSA ATUA KIGOMA LEO

Wananchi wa Mji wa Kigoma wakiwa wamejipanga kando ya Barabara kuu ya Kutoka Ujiji, kumpokea Mtangaza nia ya Kuwania Urais kwa tiketi ya CCM, Mh. Edward Lowassa. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZIMtangaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF YAWANUFAISHA YATIMA NA WAHUDUMU WA WAGONJWA MAHOSPITALINI

Mhasibu Mwandamizi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abdulkarim Kisuguru akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula pamoja na vifaa vya shule katika Kituo cha Kulelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MCHAKAMCHAKA WA KINANA WATUA WILAYANI NGARA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimuweka tone la chanjo mtoto wa miezi sita wakati wa uzinduzi wa chanjo kwa watoto wilayani Ngara.Kinana akiangalia kikundi cha ngoma alipowasili wilayani Ngara.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE ATEMBELEA KABURI LA HAYATI ABEID AMAN KARUME MJINI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (wa pili kushoto) akifafanua jambo wakati alipotembelea chumba ambacho muasisi wa Mapinduzi na Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE APATA UDHAMINI ZANZIBAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kushoto) akishuhudia mmoja wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitia saini kumdhamini kwenye fomu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA YA BENKI YA CRDB YA VIONGOZI NA WATUMISHI WA HALMASHAURI ZA KANDA YA...

Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti Huduma kwa Wateja Tully Mwambapa akizungumza kwenye semina iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kuhusu huduma za fedha zinazotolewa na benki hiyo kwa serikali. Semina hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NHC yakabidhiwa cheti cha Mwajiri Bora 2015

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Makongoro Mahanga (wa kwanza kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), James Rhombo tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka 2014 mara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMREDI KINANA AHITIMISHA ZIARA KAGERA,ASAFIRI KM 4884 KWA MAGARI, MITUMBWI...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Biharamulo leo,wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi cya chama hicho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAPOKEZI YA MH. LOWASSA MJINI BUKOBA HAYANA MFANO, AZIDI KUDHAMINIWA KWA...

 Sehemu ya Wakazi wa mji wa Bukoba Mkoani Kagera wakiwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba, wakimsubiri kumlaki Mtangaza nia ya Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Edward Lowassa, tayari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA NA...

Keki iliyoandaliwa na wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.Watoto Halima Revocatus (7) na Filex Mustach (6) wakikata keki wakati wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KWENYE MAZISHI YA SHEIKH MKUU

Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MEMBE ASHIRIKI MAZISHI YA MUFTI ISSA SHABAN BIN SIMBA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe  akiweka udongo kwenye kaburi la marehemu Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba wakati wa mazishi yaliyofanyika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YAKABIDHI GARI KWA MSHINDI WA SHINDANO LA "TUMA PESA NA...

Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kushoto) akikabidhi funguo ya gari kwa mshindi wa Shindano la "Tuma Pesa na Simbanking Shinda Passo" kwa mwezi wa Aprili 2015, Anna Shirati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANAPA WAKABIDHI MRADI WA UJENZI WA DARAJA KATIKA VIJIJI VYA SINGANA SUNGU...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza wakati wa kuzindua rasmi mradi wa daraja uliofadhiliwa na Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) kwa ajili ya wakazi wa vijiji vya Singa na Sungu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA ARDHI,NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, ANGELA KAIRUKI ATEMBELEA...

Ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa mkoani Kilimanjaro.Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi akizungumza na wafanyakazi wa shirika laArdhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>