Meneja wa Yanga ,Hafidh Saleh (kushoto) akikabidhiwa jezi namba 6 mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Malimi Busungu wakati wa utambulisho uliofanyika Dar es Salaam. Katikati ni Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Jerry Muro.![]()

Malimi Busungu akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano, Jerry Muro.
Busungu akionyesha jezi yake.