Simba, Yanga zaibomoa Mbeya City
Nyota wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi, akisaini mkataba kujiunga na klabu ya Simba kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, mbele ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Collin Frish, jijini Dar es...
View ArticleTANZANIA MWENYEJI WA MKUTANO WA MABENKI YA AKIBA DUNIANI (WSBI) KANDA YA AFRIKA
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusu mkutano wa mabenki ya Akiba Afrika...
View ArticleC-SEMA:BAJETI YA WATOTO IONGEZWE KUTATUA CHANGAMOTO ZAO
Mratibu wa utetezi na ushawishi wa SOS nchini, John Batista akitoa maada katika Semina iloyowashirikisha wanachama wa Chama cha Waandishi wa habari za watoto(TAJOC),Watunga sera na watoa maamuzi...
View ArticleFamilia yaridhia ndugu yao kuuawa
Na Mwandishi Wetu, MvomeroBAADA ya wananchi, viongozi wa siasa, serikali, dini na polisi mkoani Morogoro kushusha pumzi ya kuona matukio ya wizi sugu wa jambazi la kutisha, Frank Mwambaswa, maarufu...
View ArticleSAFARI YA MATUMAINI YAANZIA DODOMA
Waziri Mkuu mstaafu, Edward lowassa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari mjini Dodoma kuhusu mambo mbalimbali pamoja na safari ya matumaini. Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa...
View ArticleJordan Business Delegation
Jordan Business Delegation is in the country for three days with the aim of strengthening the trade relationship between Jordan and Tanzania business communities that would enable smooth movement of...
View ArticleSAID NDEMLA ASAINI KUICHEZEA SIMBA
Said Ndemla akisaini mkataba wa kuichezea klabu ya Simba mbele ya Rais wa klabu hiyo, Evance Aveva.
View ArticleBENKI YA CRDB YAKABIDHI HUNDI YA SH. MILIONI 20 KWA MEYA WA KINONDONI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha wageni alipowasili ofisini kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, (katikati). Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko,...
View ArticleKUMBUKUMBU
Familia ya Mchungaji Fanuel Solomon wa Mruma Ugweno – Kilimanjaro wanasikitika kutangaza kifo cha Mama yao mpendwa, Mama Salome Fanuel Solomon kilichotokea Ugweno siku ya Ijumaa tarehe 22/05/2015....
View ArticleChadema yawaonya viongozi wa dini mamluki
Na Bryceson Mathias, MvomeroWANACHAMA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Jimbo la Mvomero wamewaonya viongozi wa dini waliotia nia ya kugombea uongozi katika chama chao wasithubutu kuwa...
View ArticleSTARS KUINGIA KAMBINI KESHO
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajiwa kuingia kambini kesho jumatano katika hoteli ya Tansoma iliyopo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo dhidi ya Misri kuwania...
View ArticleMAOMBI YA MCHANGO WA UJENZI WA MSIKITI
Katika Maisha yetu Wanaadamu Ibada ni Jambo Muhimu saana. Uzuri , Usafi wa sehemu ya kuabudu ni Moja katika mambo mazuri yenye kupendeza katika kila Nafsi ya Binaadamu.Katika Nyumba (Msikiti) huu ,...
View ArticleWAZIRI NYALANDU ASAINI MKATABA NCHINI MSUMBUJI JANA
Waziri wa maliasili na Utalii, lazaro Nyalandu akimsikiliza waziri wa Ardhi na Maendeleo vijijini, Celso Coreia jana mjini Maputo kabla ya kusaini mkataba wa makubaliano ya kuhifadhi Pori la akiba la...
View ArticleMAONYESHO YA TANO YA HOMES EXPO KUANZA MEI 29
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya EAG group, Zenno Ngowi akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu maonyesho ya tano ya Tanzania Homes Explo yatakayoanza Mei 29...
View ArticleMASHINDANO YA MPIRA WA KIKAPU YA MAJIJI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI YAANZA DAR
Kocha ya timu ya Dar City ya Tanzania, Joseph Matle akitoa maelekezo kwa wachezaji wa timu yake wakati ilipocheza na timu ya KCC ya Uganda kwenye mashindano ya ubingwa wa Majiji kwa nchi za Afrika...
View ArticleBayport: Wa mikoani nao wanaweza kukopa viwanja vya Kibaha
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedha ya Bayaport Financial Services inayojihusisha na mambo ya mikopo,imesema hata Watanzania wanaoishi mikoani wanaweza kutumia fursa ya kukopeshwa...
View ArticleNEC YAKAMILISHA MAANDALIZI UBORESHWAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA MIKOA 4
Maandalizi ugawaji wa mashine kwa ajili ya kuandikisha wanchi katika daftari la wapiga kura kwa Kanda ya 5 Tano kati ya Sita yamekamilika leo Mei 29, 2015 zaidi ya Biometric Voter Registration (BVR)...
View ArticleUjumbe wa Maofisa wa Umoja wa Benki za Akiba Duniani Kanda ya Afrika...
Meneja wa Tawi la Benki ya Posta Zanzibar Ndg Justin S.Nandonde akisalimiana na kumkaribisha wageni wake walipotembelea Tawi hilo Zanzibar kujionea utendaji wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar wakiwa...
View ArticleCCM WASHINDA NAFASI YA UENYEKITI MJI MDOGO WA HIMO
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika uchaguzi huo kutoka vyama mbalimbali vya siasa.Mwenyekiti wa mji mdogo wa Himo Hussein Jamal akizungumzamara baada ya kutangazwa mshindi wa nafasi hiyo katika...
View ArticleHOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA (Mb) KWENYE MKUTANO WAKUTANGAZA NIA YA...
Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa ahutubia wananchi kwenye Mkutano wa hadhara, wakati akitangaza nia yake ya kuwania Urais wa Awamu wa tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia...
View Article