KAMPENI YA UGAWAJI WA DAWA ZA KUKINGA NA KUTIBU MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI...
Ndugu Wananchi,Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, hususan Kichocho na Minyoo ya tumbo yameathiri sehemu kubwa ya jamii katika mkoa wetu wa Mwanza. Magonjwa haya huleta mahangaiko makubwa kwa...
View ArticleKADA WA CCM ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KAWE JIJINI DAR ES SALAAM
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili wa Kujitegemea, Elias Nawera (katikati), akizungumza na wanachama hicho na viongozi mbalimbali wakati akitangaza nia ya kugombea nafasi...
View ArticleBALOZI WA PSPF FLAVIANA MATATA ATOA ELIMU YA FURSA MBALIMBALI ZINAZOPATIKANA...
Balozi wa PSPF, Bi. Flaviana Matata akitoa elimu kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu (hawapo pichani) jijini Mwanza.Baadhi ya wanafunzi wakisoma vipeperushi vyenye taarifa kuhusu Mfuko...
View ArticleTUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUANZA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuzindua rasmi uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura kwa kutumia mfumo wa kielektroniki wa (Biometric Voters Registration BVR) mkoani Kagera katika Manispaa ya...
View ArticleHOSPITALI YA AMI YAFUNGWA RASMI KWA MADENI
Meneja Biashara wa Kampuni ya Udalali ya Mem, Elieza Mbwambo (kulia), akimkabidhi funguo Meneja wa Kampuni ya Navtej Bains, Zulfiqar Hassanali, baada ya kampuni hiyo kuwaondoa wapangaji Hospitali ya...
View ArticleSTAND UNITED FC YAWASHUKURU MASHABIKI WAKE
Tunapenda kutoa shukrani zetu za dhati kwa wakazi wa mkoa wa shinyanga,mikoa yote kanda ya ziwa na mashabiki wetu wote walioko nchi nzima na sehemu mbalimbali duniani kwa kutoa ushirikiano wao wa dhati...
View ArticleWatu sita washikiliwa kwa kukutwa na viungo vya Albino
Na Antony Sollo ShinyangaJESHI la Polisi wilayani Kahama mkoani Shinyanga linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kukutwa na viungo vya Albino wakiwa katika harakati za kuviuza viungo hivyo.Akizungumza...
View ArticleBayport yazindua huduma mpya ya mikopo ya viwanja kwa Watanzania wote
Mkurugenzi wa Bayport Financial Services, John Mbaga, akizungumza jambo katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya viwanja katika mradi wa Vikuruti, Kibaha, mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika...
View ArticleMAMBA WANAOUA WANANCHI KUDHIBITIWA-MASASI
Katibu Tawala wilaya ya Masasi, Dunford Peter akimwonyesha ramani Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ya sehemu ya mto huo, wakati waziri huyo alipotembelea mto Ruvuma katika kijiji cha...
View ArticleSTARS CHOVU YAWASILI SALAMA
Kikosi cha timu ya soka ya Tanzania 'Taifa Stars' kilichoshiriki michuano ya Cosafa na kuondolewa patupu baada ya kufungwa mechi zote.Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasii salama leo...
View ArticleWAKAMATWA KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA VIUNGO VYA ALBINO- KAHAMA
Mwalimu Bahati Kilungu Maziku.Waganga wa jadi Elizabeth au Shija Makandi Sweya (kushoto) na Regina au Tatu Kashinje Nhende.Bilia Masanja Mhalala Mganga wa jadi Abubakar Ally Magazi Muhoja John Shija....
View ArticleKIPINDI CHA MBONI SHOW CHAAZIMISHA MIAKA MITATU KWA KUTOA MSAADA HOSPITALI...
Mkurugenzi wa Mboni Show, Mboni Masimba akimkabidhi Mkuu wa Idara ya Uzazi na Magonjwa ya Akina mama wa hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dokta Mathew Kallaga (aliyepokea kwa niaba ya uongozi) vifaa...
View ArticleNSSF YAENDESHA KAMBI YA KUPIMA AFYA BURE MKOANI TANGA
Shirika la Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), litaendesha kambi za upimaji wa Afya bure kwa wakazi wa Tanga.Lengo la kambi hizi ni kuweza kutoa elimu na kuwahamasisha wanachama wa NSSF na wananchi kwa...
View ArticleRAIS DKT. JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo, Jumamosi, Mei 23, 2015 amekutana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa...
View ArticleHOTUBA YA KAIMU KATIBU TAWALA MKOA WA MWANZA WAKATI WA KUFUNGUA MASHINDANO YA...
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii kukushukuru Katibu Tawala Msaidizi ambaye ni Afisaelimu wa Mkoa na Viongozi wenzako katika seksheni ya Elimu kwa kunialika kufungua Mashindano haya ya Umoja wa...
View ArticleJK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO TENA
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, na...
View ArticleMBOWE AZINDUZI KITABU CHA UTEKELEZAJI AHADI ZA JIMBO LA KAWE
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akisalimiana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima wakati wa mkutano wa hadhara uliokwenda sambamba na uzinduzi wa kitabu cha utekelezaji...
View ArticleKAMATI YA UTENDAJI TFF YAKUTANA
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF imeketi katika ukumbi uliopo makao makuu ya Shirikisho uwanja wa Karume.Kamati ya Utendaji imepitia masuala mbalimbali na kutoa maamuzi...
View Article