Serikali yatakiwa kuhimiza wananchi kushiriki upigaji kura Uchaguzi Mkuu
Kulia mbele ni Programu Ofisa wa TGNP Mtandao, Deo Temba akiwasilisha mada kwa washiriki wa mafunzo ya kuripoti habari za wanawake katika Uchaguzi Mkuu 2015 yaliowashirikisha wachora katuni, wasanii...
View ArticleWIZARA YA WIZARA YA FEDHA YAWAPA SEMINA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MRADI WA...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku tano kuhusu mradi wa maboresho ya matumizi ya fedha za umma...
View ArticleRAIS WA BURUNDI APINDULIWA
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na waandishiwa habari jijini Dares Salaam, huku akiwa na Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza. Wanajesi wakiwatuliza wananchi. Wananchi wakiwa barabarani. Vifaru na magari...
View ArticleRAIS AMUAPISHA MKUU WA WILAYA MAGHARIBI B
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimuapisha Ayoub Mohammed Mahmoud kuwa Mkuu wa Wilaya Mpya ya Magharibi "B" katika Mkoa wa Mjini Magharibi hafla...
View ArticleINSPEKTA WA POLISI ATOA USHAHIDI KESI YA ALBINO MWANZA
Na Daniel Mbega, MwanzaSHAHIDI wa sita katika kesi ya mauaji ya Aaron Nongo mwenye ulemavu wa ngozi (albino), Mkaguzi wa Polisi (Inspector) David Mhanaya, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama...
View ArticleTAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ndugu Wanahabari Uchaguzi Mkuu wenye lengo la kuwapata Madiwani, Wabunge na Rais nchini unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu nchini.Nimekuwa nikitembelea vijiji na kata mbalimbali za Wilaya ya...
View ArticleSTARS YAWASILI RUSTENBURG
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imewasili leo mchana majira ya saa 6 kamili katika jiji la Rustenburg na kufikia katika hoteli ya Hunters Rest - Protea iliyoypo pembeni kidogo ya jiji.Taifa...
View ArticleCRDB yataka BOT isishinikizwe
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu mdororo wa shilingi. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko,...
View ArticleTUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM
Meneja wa Mipango na Mikakati wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, Bw. Ntandu Mathayo (Kulia) akiukaribisha ugeni kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango walipokwenda kujionea maendeleo ya miradi ya kimkakati...
View ArticleMWENYEKITI WA VUGUVUGU NCHINI BURUNDI AONGEA NA WANAHABARI HOTEL YA SERENA...
Kikao Kikiwa kinaendelea Juzi usiku.Mwenyekiti wa Vuguvugu kutoka nchini Burundi Bw. Mugwengezo Chauvineau akiongea na waandishi wa Habari Serena Hotel Dar jana usiku . Dkt. Christine Mbunyingingo...
View ArticleRAIS NKURUNZIZA AREJEA BURUNDI
Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza anasema amerejea nchini humo, huku Naibu Kiongozi wa Mapinduzi akikiri kuwa jaribio la kumuangusha Nkurunziza limeshindwa. Umoja wa Mataifa umetaka kurejeshwa haraka...
View ArticleChangamoto maboresho usimamizi wa fedha za umma zatajwa
Mratibu wa Moboresho ya Usimamizi wa Fedha za Umma (Public Finance Management Reform Progamme – PFMRP) akifafanua jambo juu ya utekelezaji wa mradi huo kwa wanahabari. Baadhi ya washiriki wa semina...
View ArticleFOMU ZA URAIS CHADEMA SH.MILIONI MOJA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zanzibar, Salum Mwalimu akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu mchakato wa uchukuaji...
View ArticleCHADEMA YAILALAMIKIA CCM KWA UKIUKWAJI WA SHERIA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kinadaiwa kuvunja Sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa ili kuwashawishi wananchi wa Kijiji cha Mtambani Kata ya Bwiringu,...
View ArticleSTARS YAENDELEA KUJIFUA
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakiwa katika mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.Timu ya Taifa ya...
View ArticleMBUNGE JAMES MBATIA APENDEKEZA SHULE BINAFSI ZIPEWE RUZUKU TOKA SERIKALINI
Wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Maua Seminary wakiimba wimbo wa taifa wakati wa mahafali ya kuhitimu kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo.Mkuu wa shule ya...
View ArticleWAZIRI NYALANDU ADAI NASSARI MZUSHI ANAYETAPATAPA
Na Mwandishi wetuWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema kauli zilizotolewa Bungeni na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari, ni za kutapatapa na zimejaa ukosefu wa busara na...
View ArticleWASTAAFU WA NSSF MKOA WA TEMEKE WAAGWA RASMI
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa hafla ya kuwaaga wastaafu wa shirika hilo kutoka ofisi ya mkoa wa Temeke.Meneja...
View ArticleCOASTAL UNION KUFANYA MKUTANO MKUU WA DHARURA
MKUTANO Mkuu wa Dharura wa Wanachama wa Klabu ya Coastal Union unatarajiwa kufanyika kesho Mei 17 mwaka huu kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi Mkoani Tanga.Sababu za Mkutano huo kufanyika katika Ukumbi...
View ArticleRAZA AWAPONDA WANAOTUMIA FEDHA KUWANIA MADARAKA
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammed Raza, ameshtushwa na baadhi ya wagombea wa nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano kumwaga mabilioni yafedha chafu Zanzibar ili kuwashawishi baadhi Wajumbe wa...
View Article