BENKI YA CRDB KUFANYA MKUTANO WA ISHIRINI WA WANAHISA JIJINI ARUSHA MEI-8
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini Arusha akitoa taarifa ya mkutano mkuu wa ishirini wa wanahisa wa...
View ArticleAirtel yatoa punguzo kabambe la gharama za mawasiliano
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa huduma mpya inayotoa punguzo kabambe kwa gharama za kupiga simu ijulikanayo kama...
View ArticleKOCHA WA STARS NOOIJ AITA 28 KUELEKEA COSAFA CUP
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Mart Nooij leo ametangaza kikosi cha wachezaji 28 watakaoingia kambini katika hoteli ya Tansoma iliyo eneo la Gerezani jijini Dar es salaam,...
View ArticleYANGA YAKABIDHIWA RASMI KOMBE
Wachezaji wa Yanga wakishangilia Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara (VPL), baada ya kukabidhiwa rasmi katika mchezo wao na Azam FC uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa. Wachezaji wa...
View ArticleBODI YA NHC YATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA UJENZI WA NYUMBA JIJINI ARUSHA
Ujumbe wa wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC ukiwa eneo linalomilikiwa na NHC ambalo ujenzi wa Mji wa kisasa umeanza wakionyeshwa na Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha Bw. James Kisarika chemchemu za...
View ArticleMAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF IDD AKUTANA NA BALOZI,...
Balozi Mpya wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Japan Balozi Batilda Buriani akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipofika kuaga rasmi baada ya kuteuliwa...
View ArticleChadema yavamia Majimbo na Kata za CCM Morogoro.
Na Bryceson Mathias, MorogoroWATIA Nia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wamevamia Majimbo na Kata zinazoshikiliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kiasi cha kuwaweka Roho juu wanaokalia...
View ArticleSEMINA YA WANAHISA WA BENKI YA CRDB YAFANYIKA ARUSHA
Mkurugezi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akifungua semina ya Wanahisa wa Benki ya CRDB katika ukumbi wa AICCjijini Arusha leo. Mwrnyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin...
View ArticleRAIS TFF AAGIZA USIMAMIZI MECHI ZA MWISHO VPL
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewaagiza wasimamizi wa vituo vya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuhakikisha sheria na taratibu zote za mechi zinafuatwa.Ligi Kuu ya...
View ArticleTBL YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA VYA SH. MIL. 22 KITUO CHA AFYA KAMBI YA...
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akipokea zawadi ya fimbo kutoka kwa mmoja wa viongozi wa kijiji wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijiji cha Kambi...
View ArticleMAGARI AINA YA NISSAN MURANO NA TOYOTA LAV4 YANAUZWA
Gari zinauzwa kwa bei nzuri tu na zipo Dar kwa atakayeipenda tuwasiliane kupitia namba hizi 0713327106/0756673327
View ArticleFedha za Bayport zazidi kupata wenyewe
Meneja Masoko na Mawasiliano wa Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services inayojihusisha na mikopo, Ngula Cheyo, katikati akizungumza jambo wakati wa droo ya pili ya Kopa Bayport kwa njia ya...
View ArticleJK; Umechimba Kaburi la Vyombo vya Habari?
Na Bryceson MathiasWAKATI Serikali ikionesha kama inatengeneza Mazingira ya Ukiritimba wa kuvichimbia Kaburi Vyombo vya habari kwa kupitisha Sheria ya Takwimu na Makosa ya uharifu wa Kimtandao;...
View ArticleMAAMUZI YA KAMATI YA RUFAA YA NIDHAMU
Baada ya mahojiano kati ya mrufani Dk. Damas Ndumbaro na Wakili wa TFF Nd Emmanuel Muga, pamoja na Wajumbe wa Kamati ya rufaa ya nidhamu kuwahoji wote, Mrufani na Wakili wa TFF, Kamati ya rufaa ya...
View ArticleUzinduzi wa Huduma Mpya ya MaxMalipo kwa kutumia Simu ya Kiganjani
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Maxcom Africa Bw. Deogratius Lazari (Katikati) Akifafanua Jambo kwa waandishi wa habari ambao hawapo katika picha wakati wa Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutoa huduma za...
View ArticleWAKUU WA TAASISI ZA KUZUIA RUSHWA BARANI AFRICA WAKUTANA ARUSHA KUANGALIA...
Mwenyekiti wa bodi ya ushauri ya kupambana na maswala ya rushwa katika umoja wa Africa kutoka Ghana Mh.Daniel Batidam akizungumza na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari jijini...
View ArticleBENKI YA CRDB YAPATA FAIDA YA BILIONI 95.6
Na Pamela Mollel, ArushaBenki ya CRDB imepata faidi yazaidi ya shilingi bilioni 95.6 sawa na asilimia 14 kwa mwaka 2014 ambapo ongezeko hilo ni kubwa ukilinganisha na faida ya miaka ya nyuma ambapo...
View ArticleJOHN GUDO NYERERE KUZIKWA BUTIAMA SIKU YA JUMATANO
Mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, John Guido Nyerere enzi za uhai wake ambapo mazishi yake yanatarajiwa kufanyika siku ya Jumatano Butiama.Gari lililobeba mwili wa marehemu, John Guido...
View ArticleSTARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kesho jumatano inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki michuano ya kombe la COSAFA.Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza...
View Article