MAENDELEO BANK YAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WANAHISA
Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Bank Ibrahimu Mwangalaba akisoma ripoti ya maendeleo ya bank wakati wa Mkutano Mkuu wa kwanza kwa wanahisa uliyofanyika hivi karibuni Msasani jijini Dar es Salaam...
View ArticleCUF KIGOGO WAANZA MCHAKATO WA KUMPATA MGOMBEA
CHAMA cha Wananchi (CUF), Kata ya Kigogo wilayani Ilala Dar es salaam kimepiga kura ya maoni kwa ajili ya kupata mgombea atakayeweza kupambanishwa na wagombea wengine Umoja wa Katiba ya Wananchi...
View ArticleTANZANIA KUTUPA KARATA YAKE YA KWANZA LEO KATIKA MICHUANO YA COSAFA
Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakiwa katika mazoezi ya kujiandaa na mchezo wao wa Kombe la COSAFA dhidi ya Swaziland utakaochezwa kwenye Uwanja wa Royal Bafokeng nchini Afrika...
View ArticleWATIA NIA CCM WAJINADI MBELE YA LOWASSA
Aliyewahi kuwania jimbo la Arumeru Mashariki kupitia CCM Sioi Sumari akijinadi mbele ya Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa jimbo la Monduli mkoani Arusha Edward Lowassa katika harambee ya kuchangia...
View ArticleELISA MOLLEL ATANGAZA KURUDI TENA ARUMERU MAGHARIBI
Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi kwa kipindi cha miaka 15 kwa tiketi wa CCM,Elisa Mollelakizungumza na waandishi wa habari kuhusu nia yake ya kuwa Mbunge jimbo la Magharibi(Habari...
View ArticleRAIA WA MOZAMBIQUE WANAOISHI TANZANIA WAKUTANA NA RAIS NYUSSI
Rais wa Mozambique, Filipe Nyussi akiangalia vikundi vya ngoma.Raia wa Msumbiji akifuatilia kwa makini hotuba ya Rais wa nchi hiyo alipokutana na wananchi wa Msumbiji wanaoishi Tanzania katika ukumbi...
View ArticleMafuriko Dar es Salaam ni ushahidi wa athari za mabadiliko ya tabianchi
Mvua zinazoendelea kunyesha nakusababisha mafuriko na hasara kubwa jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini zimetajwa kuwa ni moja ya ushahidi wa udhaifu wa miundombinu ya kweza kukabiliana na...
View ArticleChadema Kukomba Wabunge 5, Madiwani 16 wa CCM?
Na Bryceson Mathias, MorogoroJINSI Upepo wa kisiasa unavyokiendea Kombo Chama cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Morogoro, kimejigamba kitakomba Wabune Watano (5), na...
View ArticlePARTY YA USIKU WA MARAFIKI WA LOWASSA YAFANA ARUSHA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Nurdin Billal maarufu kama Shetta akicheza sambamba na Mkurugenzi wa kituo cha Radio 5 Robart Francis staili ya shikorobo juzi kwenye party ya usiku wa marafiki wa...
View ArticleSELCOM YAWEZESHA MALIPO YA PANGO YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) KWA...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Selcom Tanzania Sameer Hirji akimuonyesha mashine ya POS ya Selcom Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Nehemiah Mchechu. Mashine hizo zitatumika katika...
View ArticleSTARS KUWAVAA MADAGASCAR LEO
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo inashuka dimbani kucheza mchezo wake wa pili dhidi ya timu ya Taifa kutoka Madagascar, mchezo utakaochezwa katika uwanja wa Royal Bafokeng majira ya saa 12...
View ArticleWAFUGAJI WALIOVAMIA ENEO LA LOLIONDO WATAKIWA KUONDOA MIFUGO YAO
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro Nyalandu (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Tanzania, Mbarouk Nassor Mbarouk (wa tatu kulia), wengine ni...
View ArticleKAJALA AMPA MATUMAINI WEMA
NA ELIZABETH JOHNMSANII wa filamu za Bongo, Kajala Masanja, amempa matumaini msanii mwenzie ambaye alikuwa rafiki yake wa karibu, Wema Sepetu kwamba bado ni binti mdogo na asikate tamaa kwamba hatapa...
View ArticleDIMPOZ AFUNGUKA KUHUSU PARTY YA 'ZARI ALL WHITE PARTY'
NA ELIZABETH JOHNNYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Omary Nyembo 'Ommy Dimpoz' amesema kuwa hakuweza kuhudhuria kwenye ‘Zari All White Party’, kwa sababu hakualikwa.'Party' hiyo ambayo ilifanyika...
View ArticleSHETA KUMPA ZAWADI YA GARI MKE WAKE
NA ELIZABETH JOHN BAADA ya kugombana na mkewe, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Nurdin Bilal ‘Shetta’ amesema kuwa, endapo kama mkewe atarudi nyumbani amemuandalia zawadi ya gari aina ya Mark...
View ArticleKIPINDUPINDU TISHIO KAMBI YA WAKIMBIZI WA BURUNDI NYARUGUSU, OXFAM YATOA...
Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma Wakimbizi kutoka Burundi wakisubiri huduma mbalimbali za kijamii Mmoja wa wakimbizi akiwa anapata matibabu Hapa watoto wa wakimbizi wakijipikia Chakula ,...
View ArticleVIDEO YA 'NO BODY BUT ME' YA VANESSA MDEE YATAMBA KIMATAIFA
NA ELIZABETH JOHNVIDEO ya wimbo wa ‘No Body But Me’ ulioimbwa na mwanadada anayetamba katika tasnia ya muziki wa Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ aliomshirikisha rapa wa Afrika Kusini ‘K .O’ umeanza...
View ArticleRAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA OPEN GOVERNMENT PARTNERSHIP
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015...
View ArticleKALA PINA AJITOSA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI KUPITIA CUF
Mgombea wa nafasi ya Ubunge wa Chama cha CUF Masoud 'Kala Pina, akinadi sera zake wakati wa uchaguzi wa ndani wa kura za maoni uliofanyika leo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
View ArticleWAFANYABIASHARA WENYE ULEMAVU WAFUNGA BARABARA YA UHURU NA KAWAWA BAADA YA...
Wafanyabiashara wenye wakiwa wamekaa katikati ya barabara ya Uhuru na Kawawa kulalamia kitendo cha Manispaa ya Ilala kuwavunjia vibanda vyao vya biashara na kuwasababishia upotevu na uharibifu wa mali...
View Article