DK. MAHANGA ATEMBELEA KIWANDA CHA TBL MWANZA
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL ,Roberto Jarrin (kulia) na katibu Mkuu wa TUICO, Boniface G Nkakatisi (kushoto) wakitiliana saini mkataba wa hiyari wa maboresho ya maslahi ya wafanyakazi wa TBL.Katikati ni...
View ArticleUZINDUZI WA MFUKOWAUCHAGUZIWA MKOA WA MAGHARIBI KICHAMA
Baadhi ya WanaCCM na Wakereketwa na Viongozi wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa uchaguzi wa Mkoa wa Magharibi,Kichama uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Nje ya Mji...
View ArticleMAHAFALI YA NANE YA CHUO CHA WAALIMU WA SHULE ZA AWALI CHA NEW MONTESSORI...
Mkurugenzi Mtendaji na Mkuu wa Chuo hicho, Denis Msangi akizungumza na wahitimu katika mahafali hayo yaliyofanyika Shule ya Msingi ya Mnazi Mmoja Dar es Salaam. Mgeni rasmi katika mahafali hayo, Haris...
View ArticleUmoja wa Ulaya: Tutapigania Uhuru wa Habari siku zote
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza katika maadhimisho ya Uhuru wa habari duniani...
View ArticleWaziri Tizeba ataka timu za Wizara zishiriki Ligi Kuu
Na Mwandishi MaalumNaibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba ameagiza taasisi zilizo chini ya wizara hiyo ziendeleze michezo kwa wafanyakazi wao makazini na kuhakikisha wanashiriki michuano ya...
View ArticleNyalandu aahidi kuwapa gari polisi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akiwa ndani ya gari la Polisi wakati wa ziara yake wilayani Biharamulo. (Picha na Loveness Bernard)Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro nyalandu...
View ArticleSIMBA YAITAFUNA AZAM FC, YAIFUNGA 2-1
Kikosi cha Azam FC kilichoanza leo. (Picha na Francis Dande)Kikosi cha Simba.Waamuzi wa mchezo wa Simba na Azam wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote kabla ya mchezo. Beki wa Azam...
View ArticleNyalandu awacharukia wahamiaji haramu
NA LOVENESS BERNARD, BIHARAMULOWAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amewataka wahamiaji haramu waliovamia kwenye mapori ya akiba, kuondoka mara moja kabla hatua kali za kisheria...
View ArticleMGOMO WA MABASI WAINGIA SIKU YA PILI LEO
Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akijariobu kuendesha moja ya mabasi yaliyokuwa yamegoma katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam, kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi, malori...
View ArticleMbunge Lucy Owenya atembelea kujionea athari za mafuriko TPC
Mbunge wa viti maalum, Lucy Owenya (Chadema) akitazama magodoro pamoja na mahindi yakiwa yamewekwa juu ya Choo baada ya kutokea kwa mafuriko katika kiwanda cha sukari cha TPC na kuathiri makazi ya...
View ArticleVPL KUENDELEA KESHO
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea kesho kwa mchezo mmoja utakaopigwa katika dimba la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, wenyeji timu ya Azam FC watawakaribisha Mabingwa wapya...
View ArticleCHADEMA YATOA MAAZIMIO YA KAMATI KUU
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (Chadema) akifafanua jambo leo wakati akitoa Tamko la Maadhimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya chama hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam juzi. (Picha...
View ArticleABIRIA WALALAMIKIA OFISI YA MKUU WA MKOA WA MBEYA
NA KENNETH NGELESI,MBEYABAADHI ya abiria jiji Mbeya wamwtupia lawama Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas kwa kushindwa kufika katika kituo cha mabasi kwa lengo la kuwa julia hali abiri ambao wamekwama kwa siku...
View ArticleKONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE
Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA: UFAFANUZI KUHUSU KANUNI UWIANISHAJI WA MAFAO YA PENSHINI YA...
UTANGULIZI:Hivi karibuni kumekuwa na taarifa katika baadhi ya vyombo vya habari juu ya kauli ya baadhi ya vyama vya wafanyakazi juu ya kanuni ya uwianishaji mafao ya pensheni kwa wale wanaostaafu kwa...
View ArticleNYUMBA 354 ZAATHIRIKA NA MVUA ZANZIBAR
Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya kukabiliana na Maafa Zanzibar ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Mzee Salhina Abdi Mkufau wa Shehia ya Jang’ombe ambye...
View ArticleBLATTER AIPONGEZA YANGA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu DunianI - FIFA, Joseph Blatter ametuma salamau za pongezi kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi kufuatia klabu ya Young Africans kutwaa...
View ArticleAirtel yakabidhi vitabu vya sayansi kwa Shule ya Sekondari ya King’ongo Dar...
Meneja wa Kitengo cha Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi (wa pili kushoto), akikabidhi vitabu vya masomo ya sayansi vyenye thamani ya milioni 4/-, kupitia Mradi wa ‘Airtel Shule Yetu’ kwa baadhi...
View Article