WAZIRI CHIZA: CHANGAMKIENI FURSA ZA UWEKEZAJI VISIWANI COMORO
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe. Mhandisi Christopher Chiza aliwaeleza baadhi ya wafanyabiashara kutoka Tanzania, kuchangamkia fursa za biashara na uwekezaji visiwani humo wakati alipotembelea...
View ArticleYANGA BINGWA 2015, YAIFUNGA POLISI MORO 4-1
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akishangilia baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara msimu wa mwaka 2015-16. Simon Msuva (kushoto) akishangilia na Amis Tambwe baada ya Tabwe...
View ArticleASKARI WA WANYAMAPORI KUAJIRIWA KAMA WANAJESHI, POLISI
Waziri wa Maliasili na Utalii Lazaro, Nyalandu akisaini kitabu cha wageni katika Taasisi ya Taaluma ya wanyamapori Pasiansi. Kulia ni Mkuu wa Taasisi hiyo, Lowaeli Damalu. (Picha na Loveness...
View ArticleMALINZI AWAPONGEZA YANGA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF, Jamal Malinzi ametuma salamu za pongezi kwa Mwenyekiti wa klabu ya Young Africans, Yusuf Manji kufuatia timu yake kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom...
View ArticleTHAMANI YAPOROMOKA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 20
Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi za bunge jijini Dar es Salaam kuhusu kuporomoka kwa thamani ya shilingi. Waziri Kivuli wa Fedha, James Mbatia...
View ArticleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYALANDU AFANYA ZIARA KATIKA VIJIJI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata maelezo kutoka kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi kuhusu eneo la hifadhi lililoombwa kwa ajili ya upanuzi wa...
View ArticleZaidi ya wanafunzi 60,000 wa UDOM kufurahia Airtel WI-FI
Dodoma, Aprili 28, 2015, Kufahamu ukweli kwamba Dodoma ni mji mteule na wenye kuendelea kwa kasi hapa nchini na mji uliobahatika kuwa miongoni mwa mji wenye chuo kikubwa hapa Tanzania, Airtel...
View ArticleKATIBA INAYOPENDEKEZWA SEHEMU YA PILI
MAMLAKA YA WANANCHI 7-(1) Wananchi ndio msingi wa...
View ArticleNHIF YAENDELEA NA KAMPENI YA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHF KATIKA...
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi yaliyotolewa...
View ArticleAlikiba, Diamond Platinumz vitani KTMA 2015
Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, Pamela Kikuli, (katikati) akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza wateule wanaowania tuzo za muziki za Kilimanjaro (KTMA 2015). Kulia ni...
View ArticleBENKI YA POSTA YAJIVUNIA UTENDAJI BORA KWA MWAKA 2014 ULIYOIPA FAIDA NONO
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB) Sabasaba Kitewita Moshingi, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa kutangaza utendaji wa benki hiyo kwa...
View ArticleHATUNA MPANGO WA KUWANUNULIA WACHEZAJI NYUMBA, MAGARI-YANGA
Mkuu wa Idara ya Sheria wa Klabu ya Yanga, Frank Chacha akionyesha gazeti lililoandika habari za kununuliwa nyumba na magari kwa wachezaji wa timu hiyo. (Picha na Francis Dande)Msemaji wa Yanga, Jerry...
View ArticleMKUU WA WILAYA YA KISARAWE MH. SUBIRA MGALU AZINDUA RASMI SHINDANO LA MAMA...
Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisanga Kata ya Masaki Wilayani Kisarawe Bwana Mohamed Shomoi Mlembe akimkaribisha Mgeni Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mh. Subira Mgalu kuzundua Rasmi Shindano la mama...
View ArticleCRDB YAPATA FAIDA YA BIL. 95.6 BAADA YA KODI 2014
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza katika kongamano la wawekezaji wa benki hiyo lililofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)Mkurugenzi Mtendaji wa Benki...
View ArticleSIMBA WATAKIWA KUMLIPA CHANONGO MIL 11
Klabu ya Simba SC inatakiwa kumlipa mchezaji Haruni Chanongo sh. 11,400,000, kufikia Aprili 30, 2015 vinginevyo Sekretarieti ya TFF itaanza kukata mapato ya Simba ili kumlipa mchezaji huyo. Iwapo...
View ArticleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYARANDU AAGIZA ASKARI WA MAREKANI...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na waandishi wa habari mjini Mwanza jana juu ya askari wastaafu wa Marekani wanaodai kuwa nchini kupambana na ujangili. (Picha na Loveness...
View ArticleKILA LA KHERI YANGA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini - TFF, Jamal Malinzi amewatakia kila la kheri Wawakilishi pekee wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CC) timuYoung Africans katika mchezo...
View ArticleSHEREHE ZA MEI MOSI DAR
Wafanyakazi wakiimba wimbo wa mshikamano wakati wa maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi yaliyofanyika kimkoa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Francis...
View ArticleBENKI YA DTB MABINGWA KOMBE LA MAEI MOSI DAR
Hatari katika lango la NSSF. (Picha zote na Francis Dande)Mshambuliaji wa timu ya Benki ya DTB, Kelvin Chale (kushoto) akimtoka James Godfrey wakati wa mchezo wa fainali ya michezo ya Bonanza la...
View ArticleFloyd Mayweather amdunda Manny Pacquiao kwa pointi
Bondia Floyd Mayweather baada ya kumdunda kwa pointi Manny Pacquiao.Bondia Manny Pacquiao akitupiana makonde na mpinzani wake. Floyd Mayweather akimtupia makonde mpinzani wake.
View Article