Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

MGOMO WA MABASI WAINGIA SIKU YA PILI LEO

 Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani akijariobu kuendesha moja ya mabasi yaliyokuwa yamegoma katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam, kufuatia mgomo wa madereva wa mabasi, malori na daladala.
Askari wakijadiliana baada ya madereva kukaidi agizo lililotolewa la kuwataka kusitisha mgomo wao.
 Baadhi ya watu wakiwa wamekusanyika katika kituo cha ubungo.
 Wananchi wakishuhudia hali ilivyokuwa tete katika kituo cha ubungo.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>