JUMATANO YA MAJIVU LEO
Waumini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph wakipaka majivu wakati wa Ibada ya Jumatano ya Majivu. Waumini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph wakipaka majivu wakati wa Ibada ya Jumatano ya MajivuPadri Theophileo...
View ArticleRAIS KIKWETE APANGUA WAKUU WA WILAYA
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya kwa kuingiza sura mpya 27, kuwatema 12 na kuwabadilisha vituo vya kazi 64.Hata hivyo mabadiliko hayo yanahusishwa na wachambuzi wa kisiasa...
View ArticleMAANDALIZI TAMASHA LA PASAKA YAPAMBA MOTO
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, kuhusiana na maandalizi ya tamasha la Pasaka litakalofanyika Aprili 5 kwenye Uwanja...
View ArticleCOASTAL UNION WAIFUATA NDANDA MTWARA
NA MWANDISHI WETU, TANGATIMU ya Coastal Union ya Tanga imeondoka mkoani hapa leo asubuhi kuelekea mkoani Mtwara kwa ajili ya mechi yao ya Ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Ndanda SC itakayochezwa...
View ArticleTIMU YA TAIFA YA SOKA YA UFUKWENI KATIKA MAZOEZI
Wachezaji wa timu ya taifa ya soka ya Ufukweni wakimsikiliza kocha wa timu hiyo, John Mwansasu wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye ufukwe wa Escape One jijini, Dar es Salaam leo. Timu hiyo inajiandaa...
View ArticleYANGA YAONGOZA LIGI, YAIPIGA 3-0 TANZANIA PRISONS
Mshambuliaji wa Yanga, Andrew Coutinho akiwa amepiga magoti huku akiwa amezungukwa na wachezaji wenzake wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika...
View ArticleNINI WANAFUNZI WAFANYE BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE
Matokeo ya kidato cha nne yaliyotoka hivi karibuni yamewaacha wanafunzi na wazazi wengi kwenye majonzi huku wengine wakiwa na furaha. Hii ni kutokana na idadi ya wanafunzi waliomaliza kuwa na matokeo...
View ArticleKusaga: Habari za kuuzwa Clouds Media Group ni uzushi wa kupuuzwa
Na Mwandishi WetuTAHARUKI iliyosambaa kwenye mitandao kijamii juu ya kuuzwa kwa Clouds Media Group, inayomiliki Clouds FM, Clouds Tv na Choice FM, zimepata majibu baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa...
View ArticleSafari ya Mwisho ya DCP mstaafu wa Jeshi la Polisi Tanzania, Mzee Andrew...
Jeneza lenye Mwili wa marehemu Mzee Andrew Michael Kumalilwa ukiwa tayari kushushwa nyumbani kwake Tabata Segerea ambapo misa ya kumuombea na kutoa heshima za mwisho zilifanyika kabla ya Kwenda...
View ArticleAirtel yamtangaza Bingwa wa Airtel Trace Music, yamzawadia milioni 50TZS
Meneja Masoko wa Airtel Aneth Muga (kushoto) akimkabidhi mshindi wa Airtel Trace Music Stars Nalimi Mayunga hundi ya mfano yenye dhamani ya sh. 50mil baada ya kuibuka mshindi wa mashindano ya Airtel...
View ArticleTANZANIA KUIVAA KENYA JUMAMOSI
Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya Soka ya Ufukweni (Beach Soccer) kikiwa katika picha ya pamoja. Kushoto ni kocha wa timu hiyo, John Mwansasu.Kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ya Soka ya...
View ArticleMSANII MEZ B AFARIKI DUNIA
Na Mwandishi WetuMSANII wa muziki kutoka kundi la ‘Chamber Squad’, Moses Bushagama ‘Mez B’, amefariki dunia leo asubuhi Mkoani Dodoma baada ya kusumbuliwa na Homa ya mapafu kwa muda mrefu..Taarifa ya...
View ArticleRED ARROWS YAICHAPA KILUVYA FC 3-0
Mshambuliji wa Kiluvya FC, Ishalla Juma akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Red Arrows ya Zambia kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam juzi. Arrows...
View ArticlePINDA ASITISHA ZIARA KWA MAZISHI YA ASKOFU
Na Mwandishi WetuWAZIRI Mkuu, Mizengo Peter Pinda, amelazimika kusitisha ziara yake kwa siku moja Mkoa wa Iringa kutokana na mazishi ya aliyekuwa Askofu Mstaafu Magnus Mwalunyungu.Waziri Pinda ana...
View ArticleRAIS KIKWETE AKABIDHIWA RASMI UENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja...
View ArticleCUF WAZINDUA KAMATI ZA UCHAGUZI
Wanachama na wapenzi wa Chama cha Wananchi (CUF) wakiandamana kuelekea katika viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Zanzibar leo wakati wa Uzinduzi wa Kamati za Uchaguzi za chama hicho. (Picha na Francis...
View ArticleFAINALI DARAJA LA KWANZA KUCHEZWA CHAMAZI
Fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (FDL), inatarajiwa kufanyika kesho kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi kuanzia majira ya saa 10 kamili jioni kwa saa za Afrika...
View ArticleMsama amwangukia JK mauaji ya albino
MKURUGENZI wa Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam, Alex Msama akikabidhi misaada kwa mmoja wa viongozi wa vituo vitano vya kulea yatima ikiwa ni utaratibu wa kusaidia makundi maalumu....
View ArticleWAKUU WA WILAYA WAPYA KUPIMWA UTENDAJI WAO MIEZI SITA
Na Mwandishi WetuSERIKALI imewapa muda wa miezi sita Wakuu wapya wa Wilaya waliyoteuliwa hivi karibuni ili kupima utendaji wao wa kazi.Mapema wiki hii Serikali iliteuwa Wakuu wa Wilaya na wengine...
View Article