Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

USHINDI WA TOTO, MAJIMAJI WATHIBITISHWA FDL

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imethibitisha ushindi wa pointi na mabao matatu kwa timu za Majimaji na Toto Africans baada ya mechi zao za Ligi Daraja la Kwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CUF WATII SHERIA BILA SHURUTI WASITISHA MAANDAMANO YAO

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Prof. Ibrahimu Lipumba akitoa tamko la kusitishwa kwa maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanywa leo na Jumuiya ya Vijana (JUVICUF). Kushoto ni Mwenyekiti wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Halmashauri ya Mufindi yapewa wiki 3 kujenga Kizimba cha takataka Soko Kuu...

Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu. vijana wa mafinga wakishangila uwepo wa Katibu wa CCM Wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu. Na Fredy Mgunda, mafindi.Halmashauri ya mufindi yapewa wiki 3...

View Article

COASTAL waitangazia vita Mbeya City

Na Mwandishi Wetu, Tanga TIMU ya Coastal Union ya Tanga imesema kuwa itahakikisha inapambana vilivyo ili kuweza kuhakikisha inachukua pointi tatu muhimu dhidi ya Mbeya City kwenye mechi ya Ligi kuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article


SERA MPYA YA ELIMU TANZANIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NSSF-REAL MADRID SPORTS ACADEMY WAANZA USAJILI WA VIJANA WATAKAOJIUNGA NA...

Msajili wa Vijana katika Program ya NSSF - Real Madrid Sports Academy, Haji Ramadhani (kushoto) kutoka Idara ya Michezo na Elimu ya Viungo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) akimwandikisha, Revocatus...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AWAMU YA KWANZA YA UANDIKISHAJI WA WACHEZAJI KWA AJILI YA KUJIUNGA NA KITUO...

SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), kwa kushirikiana na Klabu ya Real Madrid ya Hispania, limezindua mchakato wa usajili wa vijana walio chini ya umri wa miaka 14, watakaochujwa kusaka nafasi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABA MZAZI WA MSANII DULLY SYKES AFARIKI DUNIA

BABA mzazi wa msanii mkongwe wa muziki nchini, Dully Sykes, Ebby Sykes amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.Kwa mujibu wa mtoto wake wa kike aitwaye Raya Sykes...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KAMA YANGA AFRIKA YAICHAPA EL-MERREIKH 2-0

Wachezaji wa Azam FC wakishangilia ushindi wa timu yao baada ya kuifunga El-Merreikh ya Sudan mabao 2-0 katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika iliyochezwa kwenye Uwanja wa...

View Article

TANZANIA YAICHAPA 5-3 KENYA KWENYE BEACH SOCCER

Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni (Beach Soccer) jana imeibuka na ushindi wa mabao 5- 3 ugenini dhidi wa wenyeji timu ya Taifa ya Kenya kwenye mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania Bloggers Network Wamfariji Mzee Kitime kwa Kufiwa

Mwenyekiti wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia) akikabidhi ubani wa fedha shilingi 900,000 na kutoa pole kwa mwanamziki mkongwe, John Kitime (kushoto) ambaye amefiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA UCHUKUZI AMSIMAMISHA KAI MKURUGENZI WA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA

Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, wakati akitangaza kumsimamisha Kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAMZIKA MSANII MKONGWE MZEE EBBY SYKES

Baadhi ya waombolezaji wakishiriki mazishi ya msanii mkongwe, Ebby Sykes yaliyofanyika leo kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Mzee Sykes alizaliwa February 24, 1952, alikuwa mwimbaji na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZIARA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI NCHINI SINGAPORE

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Vangimembe Lukuvu akiwa na ujumbe watendaji wa NHC na Wizara yake amezuru Singapore na kutembelea Bodi ya Maendeleo ya Nyumba na Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO

View Article


MAHUNDI, BAHANUZI WACHEZAJI BORA VPL

Kiungo wa timu ya Coastal Union, John Mahundi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Disemba 2014 wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) inayoendelea kutimua vumbi kwenye viwanja mbalimbali nchini.Mahundi...

View Article

AFRICAN SPORTS, MWADUI FC KUCHEZA FAINALI JUMAPILI

Timu za African Sports ya Tanga na Mwadui FC ya Shinyanga zinatarajiwa kucheza mchezo wa fainali ya kusaka Bingwa wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL) siku ya jumapili katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA TRUMARK YAANDAA WARSHA MAALUMU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA...

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Trumark, Agnes Mgongo (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu warsha maalumu iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>