Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

IVORY COAST MABINGWA AFRIKA

$
0
0
Kocha wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Herve Renard akishangilia baada ya timu yake kuifunga Ghana katika mchezo wa fainali ya michuano ya Afcon kwa mikwaju ya penalti 9-8.
 Wachezaji wa Ivory Coast pamoja na viongozi wao wakiwa katika picha ya pamoja.
Kipa wa Ivory Coast, Boubacar Barry akiwa amebebwa juu juu na wachezaji wenzake baada ya kuokoa mikwaju miwili ya penalti na kuifungia timu yake penalti ya mwisho.
Furaha ya ushindi.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>