Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI AKITOKEA MAREKANI KWA MATIBABU

 Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akicheza ngoma wakati wa mapokezi ya Rais Jakaya Kikwete. (Picha na Francis Dande) Rais akiwasili.Rais Jakaya Kikwete akiwasili.Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TICTS YAKABIDHI MSAADA WA VITABU KWA SHULE YA MSINGI MIVINJENI JIJINI DAR

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuini ya Ushushaji Mizigo Bandarini Tanzania International Cpontainer Termi nal (Ticts) Paul Wallace akipeana mikono na wanafunzi wa Shule ya Msingi Mivinjeni baaada ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MSIBA WA KEPTENI-SP. KIDAI SENZALA KALUSE

Mrakibu wa Polisi-Captain Kidai Senzala Kaluse enzi za uhai wake. Familia ya Mzee Senzala Kaluse wa Kimara Mwisho Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao KIDAI SENZALA KALUSE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA KIPINGU AMWAGA MISAADA SHULE ZA MONTESORY, ULONGONI B AJITOLEA KUFUNZA...

Mkurugenzi wa Zugo Gold Mining na Mwakilishi wa Wanawake, Maendeleo ya Vijana na Ajira kwa Wachezaji wa Shirikisho na Ngumi za Ridhaa Tanzania (*BFT), Zuwena Idd Kipingu akizungumza na wazazi kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MSAIDIZI WIZARA YA HABARI DKT. KISSUI S. KISSUI AFUNGUA KONGAMANO...

Mkurugenzi Msaidizi Wizara ya Utamaduni, Michezo, Habari na Vijana Dkt. Kissui S. Kissui akifungua Rasmi Kongamano la Ulingo wa Maendeleo ya Biashara na Uchumi Karakana ya wajasiliamali uliofanyika...

View Article


Dk.Bilal kuweka jiwe la Msingi UB

Na Mwandishi WetuMAKAMU wa Rais, Dk. Mohammed Gharib Bilal Desemba 2 anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uwekwaji wa jiwe la Msingi la Chuo Kikuu  Cha Bagamoyo (UB), zitakazofanyika Kijijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tughe NHIF wamzawadia Humba mil.10/-

 Mkurugenzi Mtendaji mstaafu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Emmanuel Humba akisalimiana na wafanyakazi wa mfuko wakati wa hafla ya kumuaga ambapo Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yaendesha matembezi yahisani kuendelea kuboresha mazingira ya shule,...

   Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa pili kulia mbele) na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Watoto wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Benedict Missani (wa tatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yakabithi kisima cha maji kwa shule ya msingi Kumbukumbu Dar

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akifungulia maji ya bomba kama ishara ya uzinduzi rasmi wa  kisima kipya cha maji safi kilichojengwa  kwa hisani ya Airtel kwa kushirikiana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF AUNGURUMA ZANZIBAR KUHUSU WIZI WA FEDHA ZA TEGETA ESCROW

Maalim Seif akihutubia katika mkutano wa hadhara huko Mkokotoni. (Picha na Salmin Said, OMKR) 2. Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sgarif Hamad (katikati), Naibu Katibu Mkuu CUF Zanzibar, Mhe....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tido Mhando joins Azam Media.

                                                                       Dar es Salaam – Monday, 1st December 2014.Today Azam Media announced that Tido Mhando had been appointed as Deputy-CEO, Uhai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BANDARI YA KASANGA KUANZA KUBORESHWA

 Mkuu wa Bandari ya Kasanga, Bw. Mponjoli Thompson Mwamafupa (Kushoto) akiongea na wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango kuhusu namna ya kuhudumia meli kutoka nje ya...

View Article

MAABALA ZAWALIZA WAFANYABIASHARA

BAADHI ya Wafanyabiashara wa Kata ya Mabibo wilayani Kinondoni, Dar es Salaam wamelalamikia kiwango kikubwa cha fedha wanachotakiwa kuchangia katika ujenzi wa maabara za Shule za Serikali za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS MABORESHO YAINGIA KAMBINI

Kikosi cha Taifa Stars Maboresho kimeingia kambini leo (Desemba 1 mwaka huu) Bulyanhulu mkoani Shinyanga kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Desemba 9 mwaka huu jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB) KUWAKOPESHA WANACHAMA WASTAAFU WA NSSF

 Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mpango maalum wa kutoa mikopo kwa wastaafu wa NSSF unaojulikana kwa jina la Wastaafu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk.BILAL KUWEKA JIWE LA MSINGI CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO

Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Rais, Dk.Mohammed Gharib Bilal (pichani) Desemba 2 anatarajiwa Kuwa mgeni rasmi katika sherehe za uwekwaji wa jiwe la Msingi la Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), zitakazofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMPA MWAKYEMBE MWEZI MMOJA KUTOA...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa mjini Mtwara katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye  viwanja vya Mashujaa mjini humo akihitimisha ziara yake ya siku 16...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Kikwete amteua Profesa Assad kuwa CAG Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Profesa Mussa Juma Assad (pichani) kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).Taarifa iliyotolewa leo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTI MKUBWA WAANGUKA MCHANA WA LEO KATIKA ENEO LA SEA VIEW

 Mti mkubwa ukiwa umeangukia magari katika eneo la Sea View Upanga jijini Dar es Salaam leo mchana kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamsema kuwa kuaanguka kwa mti huo kumesababishwa na ukongwe...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUUZA NYUMBA KWA MFANYABIASHARA HANS MACHA...

DAR ES SALAAM, TanzaniaMKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>