Rais Jakaya Kikwete (kushoto), akimkabidhi vitendea kazi baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam jana. (Picha na Ikulu)
Rais Jakaya Mrisho kikwete akimuangalia Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad akiweka sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na familia ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitia sahihi yake kwenye nyaraka baada ya kumuapisha Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Anne makinda na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) Profesa Musa Juma Assad na CAG Mstaafu Bw. Ludovick Utouh Ikulu jijini Dar es salaam.