WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA KUWA MGENI RASMI KWENYE UZINDUZI WA ALBAMU...
Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.Na Mwandishi Wetu.WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi...
View ArticleKINANA NEWALA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Newala Kepteni Goerge Mkuchika wakati wa mapokezi wilayani Newala. Wafanyakazi wakibangua korosho kwenye kiwanda cha...
View ArticleKAMPUNI YA KONYAGI YANYAKUWA TUZO MBILI ZA ULIPAJI KODI BORA NCHINI
Mkurugenzi wa Fedha wa TDL, Bwana Michael Brown (KUSHOTO) akipokea Ngao ya ushindi kwa TDL baada ya kuibuka mshindi wa kwanza kama Mlipa Kodi Bora katika kundi la Viwanda, na Naibu Waziri wa viwanda...
View ArticleMKUTANO WA MABALOZI NA WENYEVITI MASKANI WILAYA KUSINI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipofika katika viwanja vya Visitors Inn Hotel...
View ArticleSHEIKH PONDA ASHINDA RUFAA YAKE
Wafuasi wa Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda wakiwa nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo huku wakipaza sauti baada Sheikh Ponda kushinda rufaa ya...
View ArticleAJALI YA GARI YAUA 14 MKOANI TANGA
Baadhi ya watu wakishuhudia ajali ya basi aina ya Costal lenye namba za usajili T410 BJD lililokuwa likifanya safari zake kati ya Tanga na Lushoto likiwa limepinduka baada ya kugongana na Scania lenye...
View ArticleRIPOTI YA ESCROW BUNGENI, CCM WAFANYA MAZINGAOMBWE
Kinyume na tambo za kusimama kidete kuwashinikiza mawaziri wanapotuhumiwa katika kashfa ya uchotwaji fedha zaidi ya sh. bilioni 300 katika Akaunti ya Escrow kwenye Benki Kuu ya Tanzania, wabunge wa...
View ArticleNJOO TUAGE MWEZI NOVEMBA KWA STAILI YA AINA YAKE NA SKYLIGHT BAND IKIWEMO RED...
Ratiba ya Skylight Band wiki hii tukifunga mwezi Novemba kwa mwaka 2014 ni kama ifutavyo.IJUMAA 28.11.14: Kama kawaida tunaaga mwezi aina yake, skylight friday ndani ya Thai village masaki,special show...
View ArticleKINANA - TANDAHIMBA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Tandahimba ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa zao la korosho lina hadithi nyingi sana na njia pekee ya kuleta ukombozi kwa mkulima ni...
View ArticleTPHA kuja na jengo la kisasa la kuinua mapato yake
Katibu Mtendaji wa TPHA Taifa, Dk. Oberlin Kisanga akiwa na wajumbe wa TPHA, akiwemo Dk. Anna Nswilla (Treasure of TPHA), (katikati) akifuatiwa na Dk.Faustine Njau (TPHA Life Member).Na Andrew Chale,...
View ArticleCoastal Union U-20 kucheza na Korogwe United Kesho
Na Mwandishi Wetu, Tanga IMU ya Coastal Union U-20 ya Tanga Kesho Inatarajiwa kusafirikuelekea wilayani Korogwe mkoani Tanga kucheza mechi ya kirafiki na Mabingwa wa soka wilaya ya Korogwe, Korogwe...
View ArticleMAXCOM AFRIKA YATIMIZA MIAKA MITANO, YABADILI MUONEKANO WA HUDUMA YAO YA MAX...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kitanzania ya MaxCom Africa, inayotoa huduma za Max Malipo, Juma Rajabu na Mwakilishi wa Manispaa ya Kinondoni, Richard Chagula wakikata utepe kuzindua muonekano...
View ArticleKINANA ALAKIWA KWA SHANGWE MTWARA VIJIJINI, ATOA HESHIMA KWENYE KUMBUKUMBU YA...
Wananachi wakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana alipowasili Wilaya ya Mtwara Vijijini, wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa...
View ArticleMWANAMUZIKI BILEKU MPASI KUTOKA DRC NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA
Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba (kushoto), akitoa burudani mbele ya wanahabari Dar es Salaam leo, kuhusu onesho hilo litakalofanyika katika ukumbi huo.....
View ArticleKINANA MTWARA VIJIJINI
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea wakati akiwasili wilaya ya Mtwara kijijini. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na...
View ArticleSAKATA LA ESCROW BUNGENI MJINI DODOMA
Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akichangia mjadala wa sakata la Escrow mjini Dodoma. (Na Mpiga Picha Wetu) Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka...
View ArticleMARUBANI WA POLISI WAFA KATIKA AJALI YA HELKOPTA
HELKOPTA ya Wizara ya Maliasili na Utalii iliyo tolewa msaada kutoka kwa Taasisi ya Howard G. Foundation inayomilikiwa na mfanyabiashara mashuhuri nchini Marekani Bw. Warren Buffet na kupokelewa...
View Article