Mti mkubwa ukiwa umeangukia magari katika eneo la Sea View Upanga jijini Dar es Salaam leo mchana kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamsema kuwa kuaanguka kwa mti huo kumesababishwa na ukongwe wake. (Picha kwa hisani ya Michuzi Blog)
Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na mti huo.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Mti huo ukiwa umeangukia ukuta wa nyumba.
Clik here to view.

Baadhi ya wamiliki wa magari wakijadiliana baada ya kutokea kwa tukio hilo mchana huu.
Image may be NSFW.
Clik here to view.
Hapo kwenye hivyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini wamenusurika.
Clik here to view.

Hawa ndio waliokuwa wamekaa katika viti hivyo.