UMOJA WA MISIKITI YA ILALA MKOA WA DAR ES SALAAM WAOMBA DUA KWA MWENYEZIMUNGU...
Dua ikisomwa. Viongozi na sehemu ya waumini walikuwa msitari wa mbele katika Dua. Dua ikiombwa kwa MWENYEZIMUNGU ili amponeshe haraka Rais wetu mpendwa. Sehemu ya waumini walioshiriki katika Dua ya...
View ArticleRais Kikwete atolewa nyuzi katika mshono-Afya yake yazidi kuimarika
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoka katika hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore Maryland baada ya kutolewa nyuzi katika mshono baada ya kufanyiwa upasuaji wiki iliyopita.Rais Kikwete...
View ArticleWENGI WAJITOKEZA MAZISHI YA MWANDISHI WA HABARI ZA MICHEZO, MAREHEMU BARAKA...
Mwili wa Mwandishi wa Habari marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande) Mwili wa marehemu Baraka Karashani ukiwasili katika...
View ArticleABDULRAHMAN KINANA: MUDA WA KULINDANA HAUPO TENA
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi katika uwanja wa michezo wa Ilulu mjini Lindi wakati akihitimisha ziara yake mkoani humo leo kabla ya kuendelea na ziara mkoani Mtwara...
View ArticleTabata yaingia fainali ya mkichuano ya Dk. Mwaka baada ya kuichapa Black Six 1-0
Nusu ya fainali ya kwanza ya mashindano ya DR. MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUP imepigwa hapo jana kwenye uwanja wa Bandari maeneo ya Tandika Mwembe Yanga kati ya Tabata FC na Black Six, mchezo ulimalizika...
View ArticleSIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KUANZA NOVEMBA 25
Mratibu wa Shirika la Wanawake katika Maendeleo barani Afrika (WiLDAF), Judith Odunga akifafanua jambo wakati wa akitoa taarifa kuhusu Siku 16 za kupinga Ukatili wa Kijinsia, inayotarajiwa kuanza...
View ArticleMJUMBE KAMATI YA SIASA TAWI LA MAKANGIRA ATOA MSAADA WA JEZI
Mjumbe Kamati ya Siasa tawi la Makangira Msasani, Suzana Msangi (CCM), (kulia), akimkabidhi zawadi ya jezi kiongozi wa timu ya watoto wa wenye umri chini ya miaka 12 ya Namanga , Omari Hamisi katika...
View ArticleMamia kushiriki maonensho ya elimu Dar
Na Mwandishi WetuZAIDI ya washiriki 500 na watembeleaji 350,000 kutoka ndani na nje ya nchi wanatarajia kushiriki katika maonesho ya kwanza ya kimataifa ya elimu nchini (TIEE).Akizungumza jijini Dar es...
View ArticleNSSF YAENDESHA SEMINA KWA WAAJIRI, WANACHAMA
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu (katikati), Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori (kulia) na Meneja...
View ArticleBMTL yaja na mashine za kutuma fedha benki
Meneja Mkuu wa BMTL, Deepak Kumar Khara akizungumza wakati wa hafla ya utambulisho wa bidhaa mpya za kampuni hiyo. Baadhi ya wageni waalikwa. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya BMTL, Mike Holtham...
View ArticleBASATA yatoa msukumo Tamasha la Krismasi
Na Mwanishi WetuSERIKALI kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama kuongeza ufanisi zaidi katika Tamasha la Krismasi mwaka huu kwa sababu...
View ArticleOPARESHENI DELETE CCM YAVUNA WANACHAMA 350 MKOANI SINGIDA
Wananchi wapatao 350 waliokuwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Msange, Jimbo la Singida Kaskazini, Wilaya ya Singida Vijijini, mkoani Singida wakiwa wameshika kadi za Chama cha...
View ArticleUTT-AMIS YAFANYA MKUTANO WA TATU WA WAWEKEZAJI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Uwekezaji Nchini (UTT-AMIS), Joseph Kuzilwa akizungumza wakati wa Mkutano Maalum wa Tatu wa Wawekezaji uliofanyika jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji...
View ArticleKALA JEREMIAH AFANYA UZINDUZI WA VIDEO NA AUDIO YA NYIMBO YAKE MPYA YA...
Mwanamziki wa Hip hop, Kala Jeremiah amezindua video yake ya Wimbo Usikate Tamaa aliomshirikisha Nuruwell katika Ukumbi wa Maisha Club, jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo. Katika uzinduzi huo,...
View ArticleWAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI...
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji.Mkuu wa Mkoa wa Pwani,...
View ArticleSUZUKI ESCUDO INAUZWA BEI NZURI...IPO KWENYE HALI NZURI KABISA
Upande wa Kushoto unavyoonekanaUpande wa Kulia UnavyoonekanaTAARIFA KUHUSU GARI HII NI..........REGISTRATION NUMBER: T 746 AATMAKE: SUZUKIMODEL: ESCUDOMODEL NUMBER: TDIIWBODY TYPE: STATION WAGONCOLOR:...
View ArticleTUME YA MIPANGO YATEMBELEA BANDARI YA MBABA BAY
Baadhi ya wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiingia kwenye gati la Bandari ya Mbaba Bay iliyopo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma. Mratibu wa...
View ArticleAIRTEL YAJA NA UNI255 KUTOA FULSA KWA WANAFUNZI VYOU VIKUU KUFAIDI INTANET...
Mkurugenzi wa Airtel Huduma kwa Wateja,Bi.Adriana Lyamba akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Simba ya UDOM kwa kuibuka washindi wa mashindano ya Airtel Uni 255,yaliyofanyika katika viwanja vya...
View ArticleWATANZANIA KUPIGIA KURA JEZI YA TIMU YA TAIFA
Watanzania wanatakiwa kupigia kura jezi ya timu ya Taifa ya nyumbani na ugenini kupitia mtandao wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wa www.tff.or.tzambapo jezi hizo zimewekwa.TFF ilipokea...
View ArticleGAPCO YAZINDUA KADI MAALUM ZA SAFARI ZITAKAZOWEZESHA DEREVA KUPATA UNAFUU WA...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kundi la makampuni ya Gapco, Dk. Macharia Irungu akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa kadi maalum za Safari zitakazomuwezesha dereva kupata unafuu wa...
View Article