Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JEBBY AMERUDI NA WIMBO MPYA

Msanii wa siku nyingi wa kundi la TMK UNIT jebby anatatajia kuachia wimbo wake mpya kuanzia tarehe 25 mwenzi huu au tareha 5 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu. akizungumza na mtandao huu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA WANAWAKE TANZANIA (TWB) YATOA HATI ZA VIWANJA KWA WATEJA WAKE

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya Wanawake  Tanzania (TWB), Magareth Chacha  (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichai) wakati wa hafla ya kukabidhi hati za viwanja kwa wateja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ABAJALO YAINGIA FAINALI DR MWAKA SPORTS XTRA NDONDO CUPKWA KISHINDO

Timu ya Abajalo ya Sinza jijini Dar es Salaam imefanikiwa kukata tiketi ya fainali ya Dk. Mwaka Sports Xtra NDONDO CUP 2014 baada ya kuifunga Burudani FC ya Temeke mikoroshini mabao 3-1. Mabao ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji watembelea NHC

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Diodorus Kamala aliyeongoza jopo la wadau wa sekta ya usafirishaji na wafanyabiashara waliotembelea nchini kuanzia Novemba 22- 29 akizungumza kwenye Ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Miss Ilala 2014 ashiriki chakula na Watoto wanaoishi katika mazingiramagumu...

Miss Ilala 2014 Jihan Dimack, akiwanawisha watoto wanaoishi katika kituo cha watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwana Orphans Centre kilichopoVingunguti jijini Dar es Salaam wakati wa hafla...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMIA WAJITOKEZA KATIKA MDAHALO WA KUJADILI KATIBA ILIYOPENDEKEZWA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mdahalo ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere kuhusu Katiba inayopendekezwa na kufanyika jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL YAWA KINARA ULIPAJI KODI TANZANIA

Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar, Shamsi Vuai Nahodha, akikabidhi Kombe la mshindi wa Meneja wa Fedha wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Alois Qande, wakati wa maadhimisho ya nane ya mlipa kodi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KINANA AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI NANYUMBU

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiponda mawe wakati aliposhiriki katika ujenzi wa Bwawa la maji linalojengwa katika kijiji cha Sengenya Mangaka wilayani Nanyumbu mkoani Mtwara akiwa katika...

View Article


MKAZI WA KOROGWE ADAI FIDIA YA SHAMBA

MKAZI wa Kata ya Kilole wilayani Korogwe Tanga, Anna Tindwa (54),  amemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuingilia kati kitendo cha Halmashauri ya wailaya hiyo kuchelewesha kumlipa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL YAJA NA UNI255 KUTOA FULSA KWA WANAFUNZI VYOU VIKUU KUFAIDI INTANET...

 Mkurugenzi wa Airtel Huduma kwa Wateja,Bi.Adriana Lyamba akimkabidhi kombe Nahodha wa timu ya Simba ya UDOM kwa kuibuka washindi wa mashindano ya Airtel Uni 255,yaliyofanyika katika viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAXIMO AJA NA KIFAA KINGINE CHA YANGA KUTOKA BRAZIL

 Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson Oliveira Neves Roque akiwasalimia mashabiki wake timu hiyo, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere.  Mchezaji mpya wa Yanga, Emerson...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MPENDWA WETU SEBASTIAN MGIMBA WAPUMZISHWA KWA AMANI KATIKA MAKABURI...

 Ndugu wa Marehemu Sebastian Mgimba Philipo Mgimba (katikati) akiwa amebeba msalaba huku pembeni ndugu mwingine akiwa pamoja na picha ya marehemu wakati wa misa fupi ya mazishi yaliyofanyika katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wa Airtel kuwaunganisha wadau katika kusaidia shule ya msingi...

 Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel kupitia mpango wake maalumu wa “Airtel tunakujali” imeandaa matembezi ya hisani huku ikialika wadau wote wenye wito wa kuchangia elimu kuungamkono...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEND OFF PARTY YA NOREEN MHINA YAFANA KATIKA UKUMBI WA DELUXE SINZA

  Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen Mhina  akiwa katika nyuso ya Furaha, jana tarehe 25.11.2014.   Bibi Harusi Mtarajiwa Noreen akiwa amempata Mume wake mtarajiwa Leonard  Baada ya kumsaka ukumbi Mzima kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kongamano la Kisayansi lafanyika mjini Bagamoyo

Mkurugenziwa K&M Archplans (T) Ltd, Arch Albert Mwambafu akifafanua jambo kwa wajumbe wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania (Tanzania Public Health Association-TPHA), (Hawapo pichani) wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USIKU WA KHANGA PARTY NOV 29

Na Andrew ChaleASIA Idarous Khamsin na Safari Carnival wanakuletea usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab watakaowasha moto wa burudani sambamba na gwiji wa mipasho nchini Khadija Kopa pamoja na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AMALIZA ZIARA YAKE NEWALA, LEO...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Neawala Mh George Mkuchika mara baada ya kuwasili mjini Newala akiwa katika ziara ya kikazi katika mkoa wa Mtwara ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI MHE. DKT. TITUS MLENGEYA KAMANI (Mb)...

 Mgeni Rasmi Waziri wa Maendeleao ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Titus Mlengeya Kamani (MB) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Mradi wa Ufugaji wa Samaki ndani ya Ziwa Viktoria Kiteule cha Bulamba kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>