Mjumbe Kamati ya Siasa tawi la Makangira Msasani, Suzana Msangi (CCM), (kulia), akimkabidhi zawadi ya jezi kiongozi wa timu ya watoto wa wenye umri chini ya miaka 12 ya Namanga , Omari Hamisi katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)