TAIFA STARS YAWASILI JOHANNESBURG
Kikosi cha wachezaji 23 wa Taifa Stars tayari kimewasili Johannesburg, Afrika Kusini tayari kwa maandalizi ya mechi dhidi ya Kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) dhidi ya...
View ArticlePepsi yaanzisha baahati nasibu kwa wateja wake
NA KENNETH NGELESI, MBEYAKAMPUNI inayo jihusisha uzalishaji wa Vinywaji baridi nchini (Pepsi) SBC Limited Mkoa wa Mbeya imetangaza shindano la jishindie mamilioni kila siku na Peps kwa wakazi wa...
View ArticleKADI ZA URAIA KUCHOCHEA MAENDELEO YA KIBENKI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, kuhusu umuhimu wa vitambulisho vya Taifa katika benki. Kushoto...
View ArticleSHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO...
Meneja wa Ghetto Radio ya Sibuka FM 94.5 Bw. Edward Rukaka aliyeshika Mkasi ,akiizindua Rasmi Studio hiyo na kuitambulisha kwa wadau. kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Bahati nasibu Tanzania Bw....
View ArticleWAMILIKI WA BLOGS TANZANIA WACHAGUANA
Mwandishi wa BBC nchini Aboubakar Famau kulia akiwa katika picha ya pamoja na mmiliki wa mtandao huu wa matukiodaima Bw Francis Godwin mara baada ya kuteuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa wamiliki wa...
View ArticleWAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB pamoja na familia zao wakiingia katika hoteli ya Kunduchi wakati wa sherehe za siku ya familia.Michezo mbalimbali ikiendelea.Wafanya kazi wa benki ya CRDB wakiwa pamoja na...
View ArticleMASHINDANO YA SHIMISEMITA YAFIKIA KILELE, NSSF YAPONGEZWA KWA KUDHAMINI
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) yadhamini Mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa (Shimisemita) yaliyohitimishwa rasmi katika viwanja vya Jamhuri mkoani morogoro. sherehe...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO...
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa...
View ArticleKAMATI YA SHERIA YAPITISHA USAJILI SDL
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji imepitisha usajili wa Ligi Daraja la Pili (SDL) huku ikikata majina mawili ya wachezaji katika klabu za Abajalo ya Dar es Salaam na Magereza ya Iringa.Klabu hizo...
View ArticleOPARESHENI DELETE CCM YAINGIA KIGOMA
Waliokuwa viongozi wa serikali ya kijiji cha Kapalamsenga kupitia CCM, wakionyesha kadi zao kabla ya kuzikabidhi kwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe,...
View ArticleMWILI WA MAREHEMU ROBERT LENGEJU WAAGWA JIJINI DAR ES SALAAM KUZIKWA KESHO...
Hili ndilo sanuku lililouhifadhi mwili wa Mwandishi/Mchambuzi wa Jukwaa Maalumu la MWALE WA DEMOKRASIA katika Gazeti la Raia Tanzania (Gazeti dada la Raia Mwema), kila Alhamisi. Mwili wa shujaa huyo wa...
View ArticleOPARESHENI DELETE CCM YAINGIA KIGOMA MJINI
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja...
View ArticleWAVUVI HARAMU WAPOTEZA MIKONO, MACHO BAADA YA KULIPUKIWA NA MABOMU YAO WAKATI...
Baadhi ya majeruhi waliolipukiwa na baruti jana wakati wakivua samaki kwa kutumia baruti katika Kisiwa cha Karange tarafa ya Pongwe wakiwa wamelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Bombo huku wakiwa...
View ArticleSKYLIGHT BAND NI MOTO WA KUOTEA MBALI, WAZIDI KUWAPA RAHA MASHABIKI WAO KWA...
Pichani Kutoka kushoto ni Bella Kombo akiongoza mashambulizi ya jukwaa akipewa sapoti na Digna Mbepera(katikati) na kwa mbaliiiii ni Aneth kushaba. Kama kawaida yetu inapofika mwishoni mwa juma yaani...
View ArticleBONDIA THOMAS MASHALI ASAINI KUZIPIGA NA ABDALLAH PAZI JANUARI MOSI 2015...
Bondia Thomasi Mashali kushoto akitia saini ya kupigana na Abbdallah Pazi kulia baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika January Mosi katika ukumbi wa Friends Corner...
View ArticleKINANA KUANZA ZIARA YA MIKOA YA MTWARA NA LINDI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,CCM Ofisi ndogo Lumumba.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman...
View ArticleHABARI ZA HIVI PUNDE:JENGO LA MACHINGA COMPLEX LAUNGUA KWA MOTO
Jengo la wafanyabiashara ndogondogo (Machinga Complex) lililopo jijini Dar Es Salaam likiwa linawaka moto muda huu..Juhudi za kuuzima zinaendelea, tutawaletea taarifa zaidi.
View ArticleMISS TANZANIA 2013 AAHIDI MAKUBWA MASHINDANO YA UREMBO YA DUNIA
Mkurugenzi wa Lino International Agency Limited, Bw. Hashim Lundenga (kulia) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu safari ya Mrembo wa Tanzania wa mwaka 2013 kuelekea katika...
View ArticleRais Kikwete atoka Hospitalini Baada ya KUPATA NAFUU
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya Johns Hopkins alipokuwa amelazwa baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa tezi dume mwishoni mwa wiki...
View Article