Quantcast
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

“COASTAL UNION KUIFUATA KAGERA SUGAR NA FAST JET"

Na Mwandishi Wetu, TangaMABINGWA wa Ligi kuu soka Tanzania Bara mwaka 1988 Coastal Union “Wagosi wa Kaya”yenye maskani yake barabara 11 jijini Tanga inatarajia kutumia usafiri wa ndege aina ya fast Jet...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AOMBA MSAADA BAADA YA KUUNGULIWA NA NYUMBA YAKE

BWANA Aron Sondi anayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ameunguliwa na nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni. Tunaomba michango ya hali na mali iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi:...

View Article


Wafugaji kigamboni wakabidhiwa mikopo ya N’gombe wa maziwa 83

Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Dr. Titus Kamani, amekabidhi mikopo ya Ng’ombe wa maziwa themanini na tatu (83) kwa kikundi cha wafugaji cha Somangira walioko Kigamboni wilaya ya Temeke Jijini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE HUDUMA ZA JAMII WAKAGUA MIRADI YA ILIYOFADHILIWA NA TEA...

 Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mbunge wa Kondoa Kaskazini Zabein Mhita akiongoza wajumbe wa Kamati ya Bunge Huduma za Jamii walipowasili katika Ofisi za Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIBONZO CHA LEO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WA ZAO LA SHAYIRI WATEMBELEA KIWANDA CHA KIMEA CHA TBLMOSHI

 MENEJA wa Kiwanda cha Kimea - Moshi, Vitus Mhus akiwaonyesha hatua ya kwanza ya zao la Shayiri linalotumika kutengenezea kimea mahali linapopokelewa kabla ya kuanza kuingizwa kiwandani.Wakulima hao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI SHIDAAAA: WAKIMBIZI WAGONJWA KUTOKA CONGO DRC WATELEKEZWA DAR ES...

Mgonjwa, Mwalihoba Nyasa, anaye sumbuliwa na ugonjwa wa kansa ya titi, sasa ameanza kunyonyoka nywele zake kwa madai ya kukokosa chakula kutokana na kutumia dawa kali lakini hapati chakula.Mtoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA MABIBO BEER WINES AND SPIRITS LIMITED YASISITIZA UTII WA SHERIA...

KAMPUNI ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited yenye haki pekee ya kuagiza na kusambaza kinywaji aina ya Windhoek katika soko la Tanzania imetoa wito kwa wakazi wa mji wa Moshi na vitongoji vyake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA WANAWAKE NA MAENDELEO (WAMA) YAKABIDHI MAJENGO YA MADARASA SHULE...

 Kibao cha Shule. Sehemu ya majengo yaliyokabidhiwa kwa Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu Mwenyekiti WAMA Zakia Meghji (hawapo pichani)  Naibu Waziri Tamisemi,Kassim Majaliwa na Makamu...

View Article


RAIS WA TOC KUFUNGA KOZI YA MAKOCHA

Rais wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) Gulam Rashid kesho (Oktoba 24 mwaka huu) atafunga kozi ya makocha ya Leseni C ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF).Hafla ya ufungaji kozi hiyo...

View Article

Maabara za JK, ni Shubiri kwa Wananchi na Chadema?

Na Bryceson Mathias, Makuyuni-KorogweAGIZO la Rais Jakaya Kikwete la Ujenzi wa Maabara za Sekondari, Watendaji nchini wamelifanya Shubiri kwa Wananchi na hasa Wanachama wa Chadema wilayani Korogwe,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA ENEO LA...

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Felix Maagi akiiongoza Kamati ya Ardhi, Maliasili na Mazingira wakati ilipotembelea eneo la mradi wa nyumba ambao unatarajiwa kuanza katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AONGOZA WAOMBOLEZAJI KATIKA MAZISHI YA MEJA...

 Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa na mkewe wakiwasili katika viwanja vya makaburi ya Kinondoni wakati wa mazishi ya Meja Jenerali mstaafu, Herman Lupogo. Meja Lupogo alifariki Oktoba 19...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda wakamilika

 Meneja wa Uwanja wa ndege wa Mpanda,  Mkoa wa Katavi Seneti Lyatuu akiwaonesha timu ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mpanda. Nyuma...

View Article

MAONI YA MSOMAJI KUHUSU MAPENDEKEZO YA KUZUIA AJALI ZA BARABARANI

Mimi ni dereva na pia ni Mwalimu wa madereva “Drivers  Instructor ”. Napenda kutoa maoni  yangu   na mapendekezo kuhusu ajali barabarani kama ifuatavyo:-Nimefanya uchunguzi kwa muda  wa miaka mitatu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BASS STATION RECORD NA UJIO WA WIMBO MPYA WA "HAWA"

 NA SYLVESTER DAVID PRODUCER maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka katika studio za BASS STATION RECORD-ILALA Jijini Dar es salaam,'BROBLAH FEELING',amewataka watanzania kuisapoti ngoma mpya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SITTI MTEMVU AJIVUA TAJI LA REDD'S MISS TANZANIA 2014

Kwa mujibu wa habari zilizowekwa katika mtandao wa kijamii wa Face Book Sitti Mtemvu ameamua kujivua Taji la Redd's Miss Tanzania  2014 kutokana na tuhuma  za kudanganya umri. Hata hivyo juhudi za...

View Article


Mke wa Rais wa China aipa msaada Shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama

Na Anna Nkinda – Beijing, ChinaMke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan ameahidi kutoa vifaa vya shule vikiwemo vya maabara pamoja na vitabu kwa ajili ya shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama ili  wanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Licha ya kuingia kwa mbwembwe Uwanjani Stand United yachapwa 3-0 na Yanga

Stand United wakiingia Uwanjani na Katapila tayari kucheza na Yanga, mwenye shati la kitenge hapo mlagoni ni Mbunge wa Shinyanga mjini Stephen Masele ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WA UKAWA WAWASHA MOTO DAR

Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia (kushoto) akiwaongoza wananchi kuimba wimbo wa Taifa  kabla ya kuanza kwa mkutano wa ushirikiano wa vyama vya siasa vya Chadema, CUF, NCCR-Mageuzi na NLD. Kulia...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>