LIGI KUU YA SOKA TANZANIA BARA, MTIBWA SUGAR YAICHAPA MBEYA CITY 2-0
Mshambuliaji wa timu soka ya Mtibwa sugar Mussa Mgosi akidhitiwa na Mabeki ya Mbeya City,Kenny Ally kushoto na Deogratius Julius kulia katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa jana katika uwanja wa Sokoine...
View ArticleMROKI AJIPIGA RISASI NA KUFA ARUSHA
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36)...
View ArticleUTT YATOA ELIMU YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WAKAZI WA MBEYA
Wakazi wa Mbeya wakipata Elimu ya Uwekezaji wa Pamoja kutoka kwa Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS, Hilda Lyimo wakati wa Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara yaliyofanyika Mbeya. Ofisa Mafunzo wa UTT AMIS,...
View ArticleMAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA), YAIPIGA JEKI MIILIONI 5 SHULE YA...
Mgeni rasmi, Mwanasheria Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Wakili Msomi, Ramadhan Maleta (katikati mwenye tai) akiangalia kazi za wanafunziza darasani walizozionesha kwake na kwa...
View ArticleMKUTANO WA CCM KIBANDAMAITI
Wananchi na WanaCCM waliohudhuria katika mkutano wa hadhara Uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti wakinyoosha mikono juuu kuunga mkono maneno yaliyozungumzwa uwanjani wakati mkutano ukiendelea uliohutubiwa...
View ArticleMAKALA: "Ni rai yangu, yaliyomkuta Pinda, yasimkute Kikwete"
Na Bryceson Mathias Mapema 2009 alipokuwa anahitimisha ziara ya mikoa ya Kanda ya Ziwa ambako alishuhudia ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino), Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alijikwaa...
View ArticleCHANZO CHA MAJI IKORONGO MKOMBOZI WA MJI WA MPANDA
Wakaguzi wa miradi ya maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango wakiangalia chanzo cha chemichemi ya maji cha Ikorongo kilichoko kilometa 13.2 kutoka Mpanda mjini. Chanzo hicho kina uwezo wa...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA BOTSWANA,AKUTANA NA BALOZI WA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Botswana nchini Tanzania, anayemaliza muda wake, Oliphant Tuelonyana, aliyefika ofisini kwake...
View ArticleCHEDI BENZI AKOSA DHAMANA, KUSOTA SEGEREA
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rshid Makwiro ‘Chidi Benzi’ akisindikizwa na askari Polisi wakati akiingia katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini leo Dar es Salaam kujibu mashtaka matatu...
View ArticleKamati ya Bunge ya Huduma za Jamii yafanya ziara katika Miradi mitatu ya NSSF...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Abubakar Rajabu (aliesimama) akizungumza wakati wa kuwakaribisha Wabunge wa Kamati ya Huduma za Jamii,waliofanya ziara...
View ArticleMchungaji TAG; Muungano wa UKAWA Ulingojewa!
Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wakionesha hati za waraka walizotiliana saini za ushirikiano katika viwanja vya Jangwani Dar es Salaam. Kutoka kulia ni, Katibu Mkuu wa Chama cha...
View ArticleLIGI KUU YA ZANZIBAR HARD ROCK YAIFUNGA KIPANGA 1-0
Haji Idrissa wa Kipanga akijaribu kuuwahi mpira usitoke nje huku akichungwa kwa karibu na Burhani Rashid wa Hard Rock. Hard Rock ilishinda bao 1 - 0. Picha zote na Martin Kabemba. Steven Thobias wa...
View ArticlePRODUCER GQ:Nina ndoto kufanya kazi nawasanii wakubwa wakiwemo Chid Benz,Juma...
NA SYLVESTER DAVIDMWANDAAJI chipukizi wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka katika studio za Digital Vibe mjini Morogoro, Fabian Venance maarufu kama ‘Gq’ amesema kuwa ndoto yake kubwa ni kufanya...
View ArticleRAIS MALINZI ATUMA RAMBIRAMBI MSIBA WA SATA, MEYIWA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amewatumia salamu za rambirambi vyama vya mpira wa miguu vya Zambia (FAZ) na Afrika Kusini (SAFA) kutokana na vifo vya Rais Michael...
View ArticleNYIMBO MPYA YA MSANII CHIPUKIZI KUTOKA MKOA WA MBEYA SJ IITWAYO KUMBE MAPENZI
Tone Multimedia Group Kupitia Mtandao wetu wa Mbeya yetu Blog tumeadhimia kuanza kuwasaidia wasanii Chipukizi kutoka Mkoa wa Mbeya na Mikoa mingine ya Jirani kimuziki kwa Kutambulisha kazi zao...
View ArticlePicha Benki ya Exim katika Maonyesho ya Wiki ya Viwango yaliyoandaliwa na TBS
Afisa Mauzo wa Benki ya Exim Tanzania, William Kikoti (wa pili kushoto), akimkaribisha Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Bw. Odilo Majengo (kulia), katika banda la benki hiyo wakati...
View ArticleWAZIRI WA FEDHA -SAADA MKUYA AZINDUZI WA CHAPISHO KUU LA UTAFITI WA MAPATO NA...
Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum (Katikati) akionyesha kitabu cha Ripoti ya Utafiti wa Mapato na Matumizi ya Kaya Binafsi wa Mwaka 2011/12 wakati akikizindua katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu...
View ArticleSHIWATA WAGAWA MASHAMBA KWA WANACHAMA WAKE
Msanii Maarufu nchini Ahmed Olotu 'Mzee Chilo' wa kwanza kulia akimsikiliza mwenyekita wa SHIWATA Cassim Taalib wa pili kushoto walipokuwa wakigawa mashamba kwa ajili ya wanachama wao watakaohamia...
View ArticleTABATA FC YAINGIA ROBO FAINALI YA LIGI YA DK. MWAKA SPORTS EXTRA NDONDO BAADA...
Wachezaji wa timu za Boom FC na Vijana ya Ilala wakisalimiana kabla ya mchezo wao wa hatua ya 16 Bora ya michuano ya Dk. Mwaka Sports Extra Ndondo Cup 2014 uliofanyika katika Uwanja wa Shule ya...
View ArticleCCM YATOA PONGEZI KWA FRELIMO KWA USHINDI KATIKA UCHAGUZI MSUMBIJI
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Sekretarieti,makao makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba jijini Dar es Salaam.CCM YAIPONGEZA FRELIMO
View Article