Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISA TANZANIA YAKUTANA NA MAAFISA HABARI KUJADILI CHANGAMOTO ZA UTOAJI TAARIFA

Na Mwandishi WetuMaafisa habari mbalimbali kutoka wizara na mihimili tofauti ya nchi, jana walikutana katika hoteli ya JB Belmont hapa Dar es Salaam kujadili changamoto wanazo kumbana nazo wakati kwa...

View Article


MTUMISHI WA HALMASHAURI AKUTWA AMEKUFA CHUMABANI KWAKE

Na Ibrahim Yassin, RungweMTUMISHI wa Halmashauri Idara ya Maendeleo ya Jamii Wilayani Rungwe mkoani Mbeya Benjamini Kaswaga (50) amekutwa amekufa chumbanii kwake tarehe 16/10/2014 aligundulika na...

View Article


KATA YA MPUGUSO HAIJAWAHI KUWA NA ZAHANATI TANGU TANZANIA IPATE UHURU

Na Ibrahim Yassin, RungweIMEELEZWA kuwa wananchi wa kata ya Mpuguso iliyopo wilayani Rungwe mkoani Mbeya wamekuwa wakitembea umbali  wa kilometa kumi na tano kufuata huduma ya afya kutokana na kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Emirates Offers upto 25% fare discount ahead of launch of Second Service to...

Dar es Salaam – 15th October 2014 -Emirates, a global connector of people and places, is offering Tanzanian travellers discounted fares on business economy tickets  to a range of exciting destinations...

View Article

Chadema; Wakulima msikubali kudanganywa na CCM

Na Bryceson Mathias, MorogoroCHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewaonya Wakulima Morogoro, wasikubali kudanganywa na Siasa za Chama cha Mapinduzi (CCM), ili kumkopesha Mazao yao Wakala wa...

View Article


Wasanii waaswa kuchangamkia kilimo Kwanza

Na Mwandishi Wetu MCHUNGAJI wa Kanisa la KKKT, John Solomoni, ameshangazwa na kitendo cha idadi ndogo ya wasanii kujitokeza katika kununua mashamba ya bei rahisi yanayotolewa na Shirikisho la wasanii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIONGOZI WIZARA YA FEDHA WAKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA BENKI YA DUNIA

Baadhi ya viongozi wa Wizara ya Fedha wakifuatilia kwa makini mkutano uliokuwa ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dk. Servacius Likwelile, ambapo ujumbe kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bayport Tanzania yazindua huduma mpya ya Mikopo ya bidhaa

 Meneja wa Masoko na mawasiliano wa taasisi ya kifedha ya Bayport Tanzania, Ngula Cheyo (katikati) akiongea na wandishi wa habari (Hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa huduma ya Mikopo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBA YANGA HAKUNA MBABE ZATOKA SARE YA BILA KUFUNGANA

Askari wa Farasi kutoka Kikosi cha FFU wakiwa katika doria kabla ya kuanza mchezo.  (Picha na Francis Dande)Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (kulia), akipambana na mshambuliji wa Simba, Elius...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATOA MSAADA WA KOMPYUTA KWA JUMUIYA YA...

 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akitia saini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ofisi ya Wazazi CCM Wilaya ya Mjini kutekeleza ahadi aliyoupa Uongozi Wa Jumuiya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PRESIDENT KIKWETE OFFICIATES AT THE CNN MULTICHOICE AFRICAN JOURNALIST AWARDS...

Tanzanian songbird Lady Jay Dee sings the National Anthem at the opening of  Gala Awards ceremony held at the Mlimani  City Conference Centre, in Dar es Salaam on Saturday October 18, 2014. President...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMBANET YAFANYA SIKU YA FAMILIA

 Kampuni ya SimbaNET (T) Linited ya jijini Dar es Salaam Jumamosi hii iliandaa bonanza la michezo lililowakutanisha pamoja wafanyakazi wa kampuni hiyo na familia zao. Siku hiyo ilikuwa ni ya kula...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Iddi afungua Baraza Kuu...

 Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman Iddi akifurahia kazi za amali zinazofanywa na  akina Mama wa Vikundi vya Ushirika vya Jimbo la Magomeni na kushawishika kununua mkeka wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PHD: WAREMBO WA BONGO HAWANA JIPYA

NA ELIZABETH JOHNSTAA wa filamu za Bongo, Hemed Suleimani ‘PHD’  amesema kuwa amechoka na usumbufu wa warembo hapa bongo kwani hajaona jipya bali ni usumbufu.Akizungumza jijini Dar es Salaam jana,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LINEX AKANA KUTUMIA MIHADARATI

NA ELIZABETH JOHN MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Sunday Mangu ‘Linex’ amesema kuwa hana sababu ya yeye kutumia kilevi chochote kile kama madawa ya kulevya na bangi kwani haoni kama vinaweza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAISAPOTI MASHADAVILLE MUSIC ENTERTAINMENT(M.M.E) NA SANAA...

KINGBIGY(Mkurugenzi wa M.M.E)KAMPUNI chipukizi  inayojihusisha na uandaaji wa kazi za Sanaa ndani na nje ya nchi,Mashadaville Music Entertainment(M.M.E)  imewataka watanzania wafanye kazi na kampuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

MAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, amewataka wataalam wa afya kutumia teknolojia ya mawasiliano katika kusambaza haraka taarifa za magonjwa kwa wananchi ili kuzuia maambukizi au kutoa tiba...

View Article


Tamasha la Handeni Kwetu lawapigia magoti wadhamini

Na Mwandishi Wetu, HandeniWADAU wa mambo ya utamaduni yakiwamo mashirika, makampuni na watu mbalimbali wameombwa kujitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni Kwetu 2014, lililopangwa kufanyika Desemba 13...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA PIOSTA TANZANIA YATAKA WANAFUNZI KUWA NA UTAMADUNI WA KUWEKA AKIBA...

  Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta (TBP), Sabasaba Moshingi akitoa Elimu ya Kifedha kuhusu umuhimu wa kufungua Akaunti kwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Jangwani ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho...

View Article

KUPOTELEWA KWA NYARAKA MUHIMU

Vitu vilivyopotea ni begi lililokuwa na;1. Laptop aina ya Acer2. Simu kubwa ya Kirusi aina ya Oysters3. Vyeti vya masomo     a) Cheti cha form four - NECTA     b) Cheti cha form six - NECTA     c)...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>