BWANA Aron Sondi anayeishi Kigamboni jijini Dar es Salaam, ameunguliwa na nyumba na kupoteza mali na vitu vyote jana jioni.
Tunaomba michango ya hali na mali iwasilishwe kupitia namba ya Aron Sondi: 0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.
Asante sana na mbarikiwe. Zifuatazo ni picha mbalimbali za tukio la ajali hiyo ambapo moto unaosadikiwa kutokea jikoni umetekeza nyumba yote na mali za familia hiyo.
Baadhi ya kuta zikiwa na ufa baada ya kuungua kwa nyumba hiyo.
Sehemu ya paa ikiwa imeungua.
Sehemu ya jikoni kukiwa kumeteketea na moto.
Sehemu ya nyuma ya nyumba wakati moto ukiwa umetanda nyumba yote. Kama umeguswa na janga alilofikwa ndugu Sonda tumia namba hizo kutoa msaada wa chochote ulichonacho. Mawasiliano: Aron Sondi: 0763210530 au kupitia Tigo pesa ya mke wake Sara Obel: 0713560844.