Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. (Picha na Ramadhan Othman Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mark Childress alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa mazungumzo.