JAJI MAKAME KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAKE TONGWE MUHEZA, TANGA
Mke wa Jaji Lewis Makame, Marry Makame akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa mume wake, marehemu Jaji Lewis Makame wakati wa kutoa heshimna za mwisho kwenye viwanja vya...
View ArticleReal Madriad Legends yaitwanga Tanzania 3-1
Wachezaji wa akiba wa timu ya Tanzania 11.Kikosi cha Tanzania 11 kilichoanza. Benchi la ufundi la Tanzania 11. Luis Figo akisalimiana na wachezaji wa Tanzania 11. Peter Manyika akisalimiana na Luis...
View ArticleTAMASHA LA MICHEZO YA MAJESHI YA NCHI ZA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI,...
Mzunguko wa nane wa tamasha la michezo ya Majeshi na Utamaduni kwa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki imefunguliwa rasmi tarehe 20 Augusti 2014 na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya...
View ArticleWASANII WATAKAOTUMBUIZA TAMASHA LA FIESTA 2014 JIONI YA LEO JIJINI TANGA...
Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,almaarufu kama Mzee Njenje akizungumza machache mbele ya wasanii mbalimbali wa bongofleva waliofika nyumbani kwake Sahare,nje kidogo ya jiji la Tanga,kumjulia hali...
View ArticleRais Kikwete azindua mradi mkubwa wa maji ya mji morogoro, awataka viongozi...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Changamoto za Milenia Tanzania (MCA-Tanzania) Bw. Karl Fickenscher wakati akiwasili eneo la Mambogo katika manispaa ya wilaya...
View ArticleWABUNGE WA CCM WAUNGURUMA HUKO MTERA MKOANI DODOMA
Mbunge wa jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete akiwahutubia wananchi katika kijiji Iringa Mvumi Jimbo la Mtera mkoani Dodoma ambapo Chama cha mapinduzi kimeendelea kuuelimisha umma juu ya masuala ya...
View ArticleTamasha la fiesta 2014 lawa gumzo mkoani Tanga
Vanessa Mdee a.k.a Vmoney akiimba jukwaani huku akiwa na staili yake ya kipekee kabisaBarnaba Boy akiimba juu ya jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Mkwakwani mkoni Tanga mwishoni mwa wikiWadau nao...
View ArticleMAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA), YAKITOZA FAINI KITUO CHA TELEVISHENI...
Mwenyekiti wa Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Margaret Munyagi (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Agosti 22, 2014 jijini Dar es Salaam, wakati...
View ArticleTOYOTA YAFANYA BONANZA MAALUMU LA KUWAPONGEZA WAFANYAKAZI WAKE
Wafanyakazi wanaume wa Kampuni ya Toyota Tanzania, wakishindana kukuna Nazi wakati wa Bonanza maalumu la kuwapongeza wafanyakazi lililoandaliwa na Kampuni hiyo lililofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi...
View ArticleWatoto wa chekechea wamtoa machozi Filikunjombe
Mbunge wa Jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe akiwa na watoto wa Chekechea kutoka Kata ya Madilu, wilayani Ludewa wakati wa ziara ya kuwatembelea. Watoto wa Kituo cha Chekechea Kata ya Madilu wakisoma...
View ArticleWAKONGWE WA REAL MADRID WAKWEA MLIMA KILIMANJARO
Wakongwe wa Klabu ya Real Madrid ya nchini Hispania wakipiga picha za kikundi cha ngoma kilichokuwa kikiwatumbuiza mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro kabla ya kuelekea Mlima...
View ArticleRais Kikwete atunuku Kamisheni TMA Monduli
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa majeshi wa kwanza Mzalendo Jenerali Mirisho Sarakikya muda mfupi baada ya kuwasili katika chuo cha jeshi Monduli tayari kwa...
View ArticleRAIS SHEIN AWAAPISHA MAWAZIRI, WAKUU WA WILAYA WAPYA IKULU LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimuapisha Dk.Sira Ubwa Mamboya kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar kabla Dk.Sira...
View ArticleOFISI YA WAZIRI MKUU YAANZA KUTOA MAFUNZO YA KUPUNGUZA ATHARI ZA MAAFA YA...
Mkuu wa Wilaya ya Same Bw. Herman Kapufi akisisitiza jambo juu ya Mafunzo ya Mradi wa kuijengea Jamii Uwezo Wa Kupunguza Athari Za Maafa katika Wilaya yake wakati timu ya Wataalam Kutoka Ofisi ya...
View ArticleMAALIM SEIF ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA POLISI
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiwasalimia maafisa wa Polisi Makamo Makuu ya Polisi Zanzibar.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akiwa...
View ArticleBENKI YA CRDB YALETA UFANISI KATI YA WAFANYABIASHARA, WAWEKEZAJI WA CHINA NA...
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB anayeshughulika na huduma ya China Deski, Ibrahim Masahi (kulia), akitoa ufafanuzi kuhusu huduma maalum za kibenki kwa ajili ya kusaidia wafanyabiashara na wawekezaji...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA MZUMBE, MOROGORO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro baada ya kuwahutubia chuoni hapo Agosti 25, 2014. Rais Jakaya...
View ArticleKOZI YA WAAMUZI NA MAKOCHA YA COPA COCA-COLA YAANZA DAR
Mkufunzi wa FIFA Felix Tangawarima akizungumza wakati wa ufunguzi wa kozi ya waamuzi na makocha ya Copa Coca-Cola iliyofanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Na Mpiga Picha Wetu) NA...
View ArticleTBL YAKABIDHI MSAADA WA KISIMA CHA MAJI KATA YA KING'ONGO, DAR
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa King'ongo, Demetrius Mapesi (kulia),akimtwisha ndoo ya maji Radhia Said baada ya kuzindua mradi wa kisima cha maji mwishoni mwa wiki kilichojengwa kwa msaada wa...
View Article