Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

COASTAL UNION WAENDA PEMBA KUWEKA KAMBI

$
0
0
Wachezaji wa Coastal Union wakipanda Ndege kuelekea Pemba kwa ajili ya kuweka kambi ya mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara,safari hiyo imedhaminiwa na wafadhili wa timu hiyo Kiwanda cha Unga mkoani Tanga Pembe.
Mlinda mlango wa kikosi cha U-20 Coastal Union, Fikirini Suleimani "Mapara "wa kwanza mbeleni akiwa na viongozi wa Coastal Union uwanja wa Ndege jijini Tanga kabla ya kupanda ndege kuelekea Pemba ambapo timu hiyo inakwenda kuweka kambi ya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao wa Ligi kuu soka Tanzania bara,safari hiyo imefadhiliwa na wafadhili wa timu hiyo Kiwanda cha Unga Tanga Pembe.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>