NA KENNETH NGELESI,SUMBAWANGA
WADAU wa soka Mjini Sumbwanga wamefurahishwa uamuzi uliofanywa na timu ya Mbeya Cit FC wa kuipeleka timu hiyo na kufungua matawi katika ukanda wa Mikoa ya Rukwa na Katavi.
Katibu wa timu ya Mbeya City, Immanuel Kimbe amesema kuwa hatua hiyo ni ya kupongezwa na kwamba inapaswa kuigwa na vilabu vingine.
Walisema kuwa kitendo hicho cha Mbeya City kukanyaga katika ardhi ya Mikoa ya Rukwa na Katavi kimewafuta kiu ya kuiona timu ya ligi kuu ambapo kwa zaidi ya Miaka 20 iliyopita wakazi wa mji wa Sumbawanga hawajawai kuona timu ya ligi kuu ikifika mjini hapo tangu enzi za Ujenzi Rukwa.
Miongoni mwa wadau hao ni Ntori Mwambusi ambaye ni Mwenyekiti Mbeya City tawi la Sumbawanga mjini, alisema kuwa wamefurahishwa na uamuzi wa timu hiyo kufika katika Mikoa hiyo inaonyesha ni jinsi gani wamedhamiwa.
Alisema kuwa mashabiki wa soka katika mjiji wa Sumbwanga wamekuwa wapenzi wa timu hiyo tangu ilipoanza ajapo wengi wao wao walikosa fursa ya kuweza kuiona moja kwa moja hivyo kitenda cha kufika kitawongezea morai ya kuipenda na kuendelea huku wakiwashawishi watu wengini kuishabikia timu hiyo kwani imeonysha kuwa jali kwani kitendo hicho kitaifdanya timu hiyo kuendelea kupata mashabiki lukuki.
‘Una jua Sumbawa wana tuna penda sana soka, lakini sasa tuna muda wa miaka 20 imepita hatuja kushuhudia mchezo wowote wa ligi na walau kutembelea na timu yoyote inashiriki ligi kuu n indo mara ya kwanza’ alisema Ntori.
Yahani hata vilabu vikubwa ambavyo vinajiita vinam asahabiki nchi nzima havijawai kuja kutembelea mashabiki wake hivyo kitendo cha Mbeya City kufika kimetupa morali wa kuendelea kuipenda zaidi na tuna kila sababu ya kujnivunia” alisema Ntori
Mwenyekiti huyo aliongeza kuwa kufika kwa timu hiyo katika mji wa Sumbwanga iwe chachu ya uongozi wa soka katika Mkoa wa Rukwa na kwamba ni fursa pekee ya kujua njia walizo pitia Mbeya City mpaka kufika hapo walipo fikia.
Mdau mwingine ambaye alionyesha kuguswa na ujio wa kikosi cha timu hiyo mjini hapa ni Godfrey Kalemya katibu wa timu ya Mazwi FC inayo shikiriki ligi daraja la nne Mjini hapa ambaye alisema kuwa mara ya mwisho kuona timu ya ligi kuu ni mwaka 1994.
Alisema kuwa ujio wa timu hiyo ni faraja kwao kwani inonyesha ni jinsi gani uongozi wa Mbeya City umetambua mchango wa mashabiki katika Mji wa Sumbawanga.
Hata hivyo alitaka uongozi Mbeya City kuendelea kuisimamia vyema timu hiyo kama msimu uliopita ili iweza kushika nafasi ya kwanza ama ya pili ili iweze kushiriki michunoano ya kimataifa, na kwamba zoezi la kutembea mashabiki lifanywe kwa mikoa ya yote ya Tanzania ili kuendelea kuzoa mashabiki.
Naye katibu wa Mbeya City Kimbe alipongeza mapokeza mazuri waliyo ya pata kutoka kwa mashabiki wa timu yake na kwamba wapo tayari kuileta leta timu hiyo kwa mara nyingine pindi watakapo pata nafasi.
Kimbe alisema kuwa haikuwa kazi raisi kufikia mafanikio hao lakini kwa uongozi dhabiki pamoja na ushabiki wa dhati kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo wa Sumbanga ndiyo sababu timu hiyo kufika hapo ilipo.
Mara baada ya kufungua tawi hilo la Sumbwanga lenye kauli mbiu “Umoja ni Chachu ya Mafanikio” ulifanyika mchezo wa kirafiki kati ya Mbeya City na timu ya Wajasiriamali ya Mazwi FC ya mjini Sumbawanmga ulio pigwa katika dimba la Nelson Mandela ambao ulimazika kwa Mbeya City kuibuka na ushindi wa bao 3-0.
Katika mchezo huo ambao ulishihudiwa na maelfu ya mashabiki kutoka mjini Sumbawanga magoli ya Mbeya yalifungwa na Erick Mawala,Abdalah Self kipindi cha kwanza na goli la tatu liliwekwa kimyani na Temy Felix kipindi cha pili cha mchezo ambapo kocha Juma Mwambusi akishirikiana na kocha msaidizi Jabir waliwachezesha wachezaji wote.
Mara baada ya mchezo huo kikosi cha Mbeya City,benchi la Ufundi na bodi ya timu hiyo ikiongozwa na mwenyekiti Musa Mapunda pamoja na Madiwani 4 kilitarajiwa kusafari hadi mji Mpanda ambapo jana kwa ajili ya mcheza wa kirafiki na Mpanda United,ambapo safari hiyo ikiwa na lengo la kufungua matawi,kusaka mashabiki.
mwisho
Mwambusi azionya Stand United na Ndanda Fc
Na KENNETH NGELESI,SUMBAWANGA
KOCHA Mkuu wa wawalikirishi wa Mkoa wa Mbeya katika ligi kuu wa Voda Com Tanzania bara Mbeya City,Juma Mwambusi amevionya vilabu vya Ndanda FC na Stand United ambavyo vinashiriki lig kuu kwa mara ya kwanza kuepuka kwa kujipambanua kama ni matawi ya vilabu vikubwa vya Simba ya Yanga.
Akizungumza na Tanzania Daima mjini Sumbwanga ambapo timu hiyo imefanya ziara, alisema kuwa endapo timu hizo zitafanya hivyo zijue wazi kuwa zitapotea katika ulimwengu wa soka kama ambavyo imetokea kwa baadhi ya vilabu siku za nyuma.
Kocha huyo alisema kuwa ni vema vilabu vilivyo ambavyo vimepanda daraja mwaka huu vikajiepusha kwa kutojionyesha kuwa ni matawi ya timu hizo kongwe hapa nchini kwani kwa kufanya hivyo zitakosa mashabiki wa kuziunga mkono.
Alisema kuwa endapo ikitoakea timu Moja inajionyesha ni tawi la timu ya Simba unakuta wale mashabiki wa Yanga wanaichukia hivyo ni vema zikajiepusha na hilo kwani hata Mbeya City ndivyo ilivyo fanya na ndiyo maana imekuwa rahisi kwao kupata mashabiki.
Alisema kuwa kuna timu zilijipambanua kuwa ni matawi vilabu vya Simba na Yanga,kwa kuwa na viongozi ambao ni wanachama pia kulazimika kuvaa jezi zenye mfanano kama timu mpaka sasa zinateseka na dhambi hiyo na zingine zimepotea katika ulimwengo wa soka.
‘Unajua timu nyingi hapa kwetu zinashindwa kudumu kwa muda mrefu kwani zimekuwa zikiji pambanua kuwa ni matawi ya timu fulani hasa Simba na Yanga na ndiyo maana zinapotea haraka mkatika soka la Tanzania’ Alisema Mwambusi
“Napenda pia ni tumie fursa hii kuzionya timu za Ndanda FC na Stand United ambao ni wageni katika ligi kwa mwaka huu kuepuka na tatizo hili, na kama kweli wameamua kuleta soka la ushindani nawasii sana waliepuka kwani kwa kufanya hivyo mpira wa Tanzania utakuwa na kusonga mbele”.alisema Mwambusi
Kocha huyo ambaye ameambatana na kikosi chake pamoja na benchi la ufundi katika Mikoa ya Rukwa na Katazi katika ziara ya kusalimia wadau wa timu hiyo lisema hilo ndilo lilifanywa na timu yake na ndiyo maana kila kukucha inaji zolea mashabiki kila pembe ya nchi hii.
Mbeya City inayo jiwanda na ligi kuu ya Voda Com mwaka huu ikiwa na mara yake ya pili kushiriki inayo anza katika mwa Semptemba ipo katika Mikoa hiyo kwa ajiri kuwasalimu mashabiki na wapenzi wao ambapo uongozi wa timu hiyo utafungua matawi katika Miji ya Sumbawanga Mkoani Rukwa na Mpanda Mkoani Katavi sambamba na kucheza miche za kirafiki na timu mabalimbali katika Mkoa hiyo.
Mwisho
Wadau soka Sumbwanga waipa tano Mbeya City
NA KENNETH NGELESI,SUMBAWANGA
WADAU wa soka Mjini Sumbwanga wamefurahishwa uamuzi uliofanywa na timu ya Mbeya Cit FC wa kuipeleka timu hiyo na kufungua matawi katika ukanda wa Mikoa ya Rukwa na Katavi.
Wakizungumza na Tanzania Daima kwa nyakati tofauti mara baada ya katibu wa timu ya Mbeya City Immanuel Kimbe kufungua tawi la timu hiyo Mjini hapa wadau hao walisema kuwa hatua hiyo niya kupongezwa na kwamba inapaswa kuigwa na vilabu vingine.