RAIS MSTAAFU DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AONGOZA BODI YA WAKURUGENZI WA GPE...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ushirikiano wa Elimu Duniani (GPE), Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na Makamu Mwenyekiti...
View ArticleRais Samia ashiriki Mkutano wa Kilimo UAE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Afya unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03...
View ArticleTUNAFUATILIA UADILIFU KATIKA UTOAJI HUDUMA ZA ARDHI- MHE PINDA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geofrey Pinda akizungumza katika Kongamano la masuala ya Ardhi Tanzania tarehe 4 Desemba 2023 mkoani Morogoro. Na Munir Shemweta, WANMM MOROGORO...
View ArticleWAZIRI MKUU AWASILI KATESH, ATOA POLE AENDA KUKAGUA ENEO LA TUKIO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewasili wilaya ya Hanang mkoani Manyara na kukutana viongozi wa mkoa huo na wa Serikali na kupokea taarifa ya hali halisi ya tukio la maafa lililotokea jana na kusababisha...
View ArticleTume ya Tehama yapeleka wabunifu 7 kongamano la Afrika
Na Mwandishi Wetu KATIKA kuhakikisha inakuza ubunifu kwa kampuni changa za Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) nchini, Tume ya Tehama (ICTC) imefanikisha safari ya wabunifu saba kwenda...
View ArticleTTCL YANOGESHA 'TWENZETU KILELENI2023'
Na Andrew Chale, KilimanjaroSHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa huduma ya bure ya intaneti kwa washiriki watakaopanda mlima Kilimanjaro katika kipindi cha kampeni ya twenzetu Kileleni2023...
View ArticleNMB yang’ara Tuzo za Mwajiri Bora mwaka 2023
Na Mwandishi WetuBenki ya NMB imenyakua tuzo nne kwenye shindano la mwaka huu la Mwajiri Bora wa Mwaka (EYA 2023), ukiwemo ushindi wa pili kwenye mshindi jumla wa tuzo hizo zilizoandaliwa jana jijini...
View ArticleNMB Yapokea Tuzo Nne za Mwajiri Bora Tanzania 🏆
Mafanikio makubwa tunayoendelea kuyapata yanatokana na bidii pamoja na ueledi wa wafanyakazi wetu na tunafuraha kutambulika kama Mwajiri Bora nchini Tanzania katika Tuzo zilizotolewa na Chama cha...
View ArticleMCB yaleta Kapu la MwalimuSanta sokoni
Meneja Masoko wa Mwalimu Commercial Bank (MCB), Anna Mbajo akizungumza jijini Dar es Salaam leo, kuhusu Kapu la MwalimuSanta katika msimu huu wa Sikukuu. Kushoto ni Elilumba Kinyau kutoka Idara ya...
View ArticleMADINI NI UTAJIRI....KAZI IENDELEEE
Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali (aliyechuchumaa) akipokea maelekezo kutoka kwa Waziri wa Madini, Anthony Mavunde. Kazi Iendelee.
View ArticleWEKEZENI KATIKA MIRADI YA UZALISHAJI KUKUZA AJIRA; MHANDISI. CYPRIAN LUHEMEJA
NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhandisi Cyprian Luhemeja, ameelekeza Menejimenti ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi...
View ArticleGAMONDI AISUKA UPYA SAFU YA ULINZI
NA MWANDISHI WETUMkuu wa Benchi la Ufundi wa Yanga SC Miguel Gamondi, ameweka wazi kuwa watafanyia kazi makosa katika mechi za kimataifa upande wa ulinzi ili kutoruhusu mabao mengi ya kufungwa.Hayo...
View ArticleBENCHIKA APEPEA TUZO ZA CAF
NA MAWANDISHI WETUKocha wa Simba, Abdelhak Benchikha ameingia katika orodha ya makocha watatu bora wanaowania tuzo za CAF 2023 ambazo zitafanyika Jumatatu Desemba 11.Benchikha anachuana na Walid...
View ArticleMAYELE, TAU, SHALULILE JINO KWA JINO MVP CAF
NA MWANDISHI WETUMshambuliaji wa zamani wa Yanga, Fiston Mayele ambaye kwasasa anakipiga Pyramids ya Misri ameingia tatu bora katika tuzo ya mchezaji wa mashindano ya Shirikisho la Soka Barani Afrika...
View ArticleCEO NMB ASHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA ZANZIBAR
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia, Ajaypal Singh Banga.Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna ameshiriki uzinduzi wa Mkutano...
View ArticleNjaa yakumba milioni 300
Na Selemani Msuya WATU milioni 333 barani Afrika wanakabiliwa na njaa na utapiamlo, hivyo imeelezwa kilimo kinachozingatia Sayansi na Teknolojia ndivyo pekee vinaweza kuwaokoa na kadhia hiyo.Hayo...
View ArticleTANZANIA YATAMBULIKA KIMATAIFA KWA MIFUMO BORA YA USIMAMIZI WA MASUALA YA...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa kazi (OSHA) Khadija Mwenda, alipokuwa akitoa Taarifa ya Utendaji na mafanikio OSHA ndani ya miaka mitatu ya Uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan,...
View ArticleMNYAMA MAWINDO TENA MOROCCO
Na John MarwaWawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL Simba SC leo wanashuka dimbani kumenyana na wababe wa Soka la Morocco katika mchezo wa tatu wa hatua ya makundi,...
View ArticleZAIDI YA BILIONI 13 ZALETA MIRADI MBALIMBALI WILAYA YA NKASI
NA DENIS MLOWE, NKASI HALMASHAURI ya Wilaya Nkasi Mkoani Rukwa Katika kipindi cha mwaka 2022/2023 imepokea zaidi ya shilingi bilioni 13.02 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo...
View ArticleWaziri Chana azindua mpango wa usajili wa watoto chini ya miaka 5 Dar
Waziri wa Sheria na Katiba,Balozi Dkt. Pindi Chana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mpango wa kuanza zoezi la usajili wa watoto chini ya miaka mitano kwa mkoa wa Dar es Salaam mwishoni mwa wiki....
View Article