Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Afya
unaohusu magonjwa yasiopewa kipaumbele, Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu
(UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Mawaziri na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.
Baadhi ya Viongozi na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano wa Kilimo unaojadili fursa za Uwekezaji na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi pembezoni mwa Mkutano wa (COP28) unaofanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) tarehe 03 Desemba, 2023.