GavanawaBenkiKuuya Tanzania,Prof.Benno Ndulu akichangia hoja wakati wa mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa (BRN) uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu NyerereJijini Dar es Salaam. Kuliani Katibu Mkuuwa Wizaraya Majina Umwagiliaji MhandisiBashir Mrindoko.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja yautekeleza jiwa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo JumatanoJulai 23,2014katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kuliani Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Asha- Rose Migirona (katikati) MtendajiMkuuwaOfisiyaRais-Usimamiziwa Utekelezaji wa Miradi (PDB),Bw. OmariIssa.
NaibuWaziriwaViwandanaBiashara, Mhe. Janet Mbene akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano Julai 23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu NyerereJijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. JumanneSagini.
NaibuWaziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Angellah Kairuki (katikati) akichangia hoja wakati mkutano wa kupitia taarifa ya mwaka mmoja ya utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika leo Jumatano Julai 23,2014katika ukumbi wa Mwalimu NyerereJijiniDar es Salaam.