Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Benki ya CRDB yawakaribisha wananchi kupata huduma katika Maonesho ya Sabasaba

Afisa wa Benki ya CRDB kutoka Tawi la Temeke, Edna Ecomay, akiwa tayari kuwahudumia wateja katika Tawi la benki hiyo lililopo katika viwanja vya Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba).Image may be NSFW.
Clik here to view.

Afisa wa Benki ya CRDB, Zoe Kafulusu, akimuhudumia mteja wa benki katika Tawi la benki hiyo lililopo kwenye Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Wateja wakihudumiwa na Afisa wa Benki ya CRDB, Hilda Kimaro, walipofika kwenye Maonesho ya Sabasaba.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>