Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

WADAU WA MUZIKI KUTOKA MAREKANI WAKUTANA NA WASANII WA TANZANIA

$
0
0
Dk. Mona Mwakalinga akifafanua jambo wakati wa semina ya majadiliano na wasanii wa fani mbalimbali na Mameneja, Wanasheria, Watayarishaji, Waandaji wa Muziki na Filamu.  Semina hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam. (Picha na John Dande)
Tanzania Music Federation akifafanuajambo wakati wa Semina ya majadiliano ya wasanii wa fani mbalimbali na mameneja wanasheria na watayarishaji na waandaji wa muziki na filamu  hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mrisho Mpoto 'Mjomba' akifuatilia Semina ya wadau wa muziki iliyofanyikajijini Dar es Salaam.
Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika semina ya muziki.
Msanii Diamond Platinum akifuatilia Semina ya wadau wa muziki.
Mzee Yusuf akifafanua jambo wakati wa semina ya wadau muziki.
Mwana FA akiwa katika semina ya wadau wa muziki.
Wadau wa muziki kutoka Marekani wakizungumza na wadau wa muziki Tanzania. (Picha na Bongo 5)

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>