Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live

Article 0

WACHEZAJI MABORESHO STARS WATAJWAKocha Msaidizi wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya wachezaji 16 waliochaguliwa katika maboresho ya timu ya Taifa Taifa Stars kwenye hoteli ya Hill View...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

TIMU YA MAFUNZO YA ZANZIBAR YATUA DAR KWA AJILI YA TAMASHA LA PASAKA Baadhi ya wachezaji wa timu ya mafunzo ya Zanzibar wakiwasili kwenye Bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya michezo ya Pasaka. Baadhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MWIMBAJI WA KIMATAIFA WA NYIMBO ZA INJILI KEKE LETSO PHOOFOLO AWASILI DAR KWA AJILI YA TAMASHA LA PASAKAMwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha la Pasaka, Alex Msama akipeana mkono na mwimbaji wa...

View Article

Article 0

Jojo Walaani Wanaume na Wanawake kufungwa Chumba kimojaNa Bryceson Mathias, MbeyaWANANCHI wa Kijiji cha Jojo, Kata ya Santilya, Wilaya ya Mbeya vijijini, wamelaani kitendo cha Katibu Mtendaji wao,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MWANAMUZIKI WA SKYLIGHT BAND MAREHEMU CHILL CHALLA AZIKWA JIJINI DARMpiga Gita mahiri wa bendi ya Skylight Chill challa amezikwa kwenye makaburi ya Mwananyamala kwa kopa na mamia ya watu na wanamuziki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

AZAM FC YAKABIDHIWA KOBE LA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM Wachezaji wa Azam FC wakiongozwa na nahodha wa timu hiyo John Boko wakatni wa kupokea Kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 4

MOTO WATEKETEZA NYUMBA SINZA MADUKANI Watu wakitoa msaada wakati wa tujio hilo. Watu wakishuhudia nyumba ikiteketea katika eneo la Sinza jijini Dar es Salaam, leo. Baadhi ya majirani wakishuhudia tukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

TAMASHA LA CHEKA BOMBASTIK LAFANYIKA COCO BEACHMsanii akionesha manjonjo yake wakati akicheza na baiskeli wakati wa tamasha la Cheka Bombastik na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.Kuonesha ufundi wa...

View Article


Article 2

Zaidi ya 60 watimkia Chadema, Mtendaji kata atoa VitishoNa Bryceson Mathias, Santilya MbeyaWANACHAMA zaidi ya 60 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kijiji cha Jojo, Kata  ya Santilya, Mbeya vijijini, kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

Balozi wa Urusi awaongoza waumini wa Dhehebu la Orthodox katika ibada ya Pasaka  Balozi wa Urusi anayefanyakazi hapa nchini  Alexander Rannikh akipewa Baraka na Askofu  wa Dhehebu ya Orthodox  Askofu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

Asia Idarous: Muziki wa mwambao asilia una mguso wakeNa Andrew ChaleMWANAMITINDO mkongwe na mdau wa muziki wa mwambao asilia, Asia Idarous Khamsin, amesema muziki huo una mguso wake hivyo jamii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

Rais Kikwete afungua ofisi ya TRA KARATURais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria kufungua rasmi ofisi ya Mamlaka ya mapato Wilaya ya Karatu leo mjini Karatu.Rais...

View Article

Article 4

VIINGILIO MECHI YA STARS, BURUNDI VYATAJWAKiingilio cha chini katika mechi ya kirafiki ya kimataifa kati ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) na Burundi (Intamba Mu Rugamba) itakayochezwa Aprili...

View Article


Article 3

KITAMBI NOMA BINGWA BONANZA LA PASAKA  ARUSHAMwandishi Wetu ArushaKITAMBI noma mabingwa wa jumla wa bonanza la Pasaka lililofanyika katika uwanja wa kumbukumbu ya sheikh Amri Kaluta Abeid huku timu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

SKYLIGHT BAND YATIKISA JIJI LA MWANZA PASAKA KWENYE KIOTA KIPYA CHA JEMBE BEACH RESORTWadau wa Jembe Beach Resort ndani ya kiota kipya cha kipekee chenye viwango vya kimataifa wakisubiri kuanza kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

MJADALA WA BUNGE LA KATIBA MJINI DODOMA  Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 0

MAMIA WAJITOKEZA MAZISHI YA MC KAVEMBA MC Frank Kavemba enzi za uhai wake. (Picha na Francis Dande) Baadhi ya waombolezaji wakati wa mazishi ya MC Kavemba.  Waombolezaji wakiwasili makaburini. Baadhi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 3

Benki ya Exim kuendelea kupiga jeki maendeleo ya michezo nchini Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, Amio T. Amio (kushoto) akisalimiana na wafanyakazi wa Benki ya Exim wakati wa Mbio za Riadha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 2

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA 28 LA MWAKA LA WANASAYANSI LA TAASISI YA TAIFA YA UTAFITI WA TIBA (NIMR) Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 1

Wadau wahimizwa kupiga kura KTMAMeneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandhi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu mchakato wa upigaji kura za wasanii wa...

View Article
Browsing all 19659 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>