Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Article 3

$
0
0
TAMASHA LA CHEKA BOMBASTIK LAFANYIKA COCO BEACH
Msanii akionesha manjonjo yake wakati akicheza na baiskeli wakati wa tamasha la Cheka Bombastik na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Kuonesha ufundi wa kucheza na baiskeli.
Baadhi ya wakazi wa maeneo tofauti ya jiji Dar es Salaam wakiogelea katika ufukwe wa Coco Beach.
Tunaogelea...................
Umati wa watu ukiwa katika ufukwe wa Coco Beach. 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya akifanya vitu vyake wakati wa tamasha la Cheka Bombastik lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>