Baadhi ya wachezaji wa timu ya mafunzo ya Zanzibar wakiwasili kwenye Bandari ya Dar es Salaam kwa ajili ya michezo ya Pasaka.
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt, Consolata Adam akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mapokezi ya timu ya Mafunzo ya Zanzibar katika Bandari ya Dar es Salaam. Mafunzo wapo jijini kwa ajili ya michezo ya tamasha la Pasaka.
Wachezaji wakiwasili.
Baadhi ya wachezaji wa Mafunzo baada ya kuwasili.
Wachezaji wa Mafunzo wakiwa na viongozi wao.
Wachezaji wa Mafunzo wakiwasili.
Hata wanamuziki kutoka Mafunzo Sports Club waliwasili kwa ajili ya tamasha la Pasaka.
Wachezaji wa Mafunzo wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TBL.
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt, Consolata Adam (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa Mafunzo Sports Ckub sehemu ya vinywaji vya Grand Malt kwa ajili ya wachezaji.Brass Band ikitumbuiza.