Article 7
ST GANGWE KUWAKUMBUKA WACHEZAJI WAKEAyub SemtawaTIMU ya mpira wa miguu ST Gangwe ya Kicheba wilayani Muheza,Tanga, inatarajia kufanya kumbukumbu ya kuwakumbuka wachezaji wake walioichezea timu hiyo...
View ArticleZ ANTO: KIFO CHA MAMA KIMENIPOTEZA
Na Elizabeth JohnBAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu, Ally Mohamed ‘Z Anto’ amesema ukimya wake umesababishwa na kufiwa na mama yake mzazi aliyefariki Julai, mwaka jana.Z Anto ni kati ya wasanii ambao...
View ArticleArticle 5
TPA YATOA MSAADA WA MADAWATI 110 SHULE YA MSINGI MAHUMBIKA MKAONI LINDIMkuu wa Bandari ya Mtwara, Absalom Bohela (kushoto) akikabidhi msaada wa madawati 110 yenye thamani ya shilingi milioni 20 kwa...
View ArticleKALAPINA ATAMBA KUWA WA KIMATAIFA
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa hip hop nchini, Karama Masoud ‘Kalapina’ amesema kwasasa yeye ni msanii wa kimataifa ndio maana ameamua kubadilisha staili yake ya uimbaji ili kutafuta soko zuri...
View ArticleROMA AZISHUKIA REDIO ZA BONGO
Na Elizabeth JohnMKALI wa muziki wa hip hop nchini, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ amevilalamikia baadhi ya vyombo vya habari kwa kukataa kupiga wimbo wake mpya unaojulikana kwa jina la ‘KKK’ mpaka...
View ArticleBEN POL AWACHANA WENYE MTIMANYONGO
Na Elizabeth JohnMSANII wa muziki wa R&B, Benard Paul ‘Ben Pol’ amewataka wasanii wa Bongo kuwaunga mkono msanii Diamond na AY baada ya kuchaguliwa kuiwakilisha Tanzania kwenye kampeni ya kilimo...
View ArticleArticle 1
UCHAGUZI WA JIMBO LA CHALINZE KATIKA PICHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya mrisho Kikwete akisoma karatasi ya kupigia kura kabla ya kupia kura kumchagua Mbunge wa Jimbo la Chalinze...
View ArticleArticle 0
BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUUMwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katika) akiakata utepe kuashiria...
View ArticleArticle 4
WIZARA YA FEDHA YAWEKA WAZI JINSI ITAKAVYOTEKELEZA MATOKEO MKUBWA SASAMsemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma, akizungumza wakati wa Semina maalum kwa 'Mablogger', iliyofanyika katika Hoteli...
View ArticleArticle 3
MBUNGE WA KIGAMBONI ATEMBELEA KITUO CHA AFYA KIGAMBONI KUANGALIA MAENDELEO YA TIBA YA KANSA YA KIZAZI KWA KINAMAMA Mbunge wa Jimbo la Kigamboni,Mh. Dkt. Faustine Ndugulile (mwenye fulana ya mistari...
View ArticleArticle 2
NGORONGORO HEROES KUREJEA LEOTimu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (Ngongoro Heroes) inarejea nchini leo (Aprili 7 mwaka huu) kutoka Kenya ambapo jana (Aprili 6 mwaka huu) ilicheza mechi...
View ArticleArticle 1
MREMA AIGOMEA MANISPAA YA KINONDONINa Mwandishi WetuMGOGORO wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, kugawa Eneo la Barabara ya Keko, Mikocheni ‘A’ Mtaa wa Tindiga kwa Kampuni ya Trans Auto Express Ltd,...
View ArticleArticle 0
RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MAREHEMU MEJA JENERALI KEVIN MSEMWA Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho kwa...
View ArticleArticle 0
TIMU TATU FDL ZARUDI LIGI YA MKOATimu tatu za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) zitacheza Ligi ya Mkoa katika mikoa yao msimu ujao baada ya kushika nafasi za mwisho katika makundi yao, hivyo kushuka...
View ArticleArticle 3
MAHAKAMA KUU KANDA YA MOSHI YAAWACHIA HURU WASHTAKIWA 9 NA KUWATIA HATIANI 3 KATIKA KESI YA MAUAJI YA NMB MWANGAMshtakiwa namba 3, Kalisti Joseph Kanje ( aliyebeba mafaili), Mshtakiwa namba moja,...
View ArticleArticle 2
TBL YAFANIKISHA UPANDANJI MITI 1250 CHUO KIKUU CHA MOUNT MERU ARUSHA Mkuu wa Chuo Kikuu cha Maunt Meru, mkoani Arusha Mchungaji Profesa Harrison Olang' (kulia), akishikana mikono na Meneja Mauzo na...
View ArticleArticle 1
KINANA ATINGA KIGOMA KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma jioni hii akitokea Rwanda, tayari kuendelea na ziara ya siku...
View ArticleArticle 0
SKYLIGHT BAND WAFANYA UZINDUZI RASMI WA NYIMBO YAO MPYA YA KARIAKOO PAMOJA NA KUTAMBULISHA STUDIO YAO MPYA YA KUREKODIA MUZIKIMeneja wa Band ya Skylight Aneth Kushaba akielezea kwa kina uzinduzi Rasmi...
View ArticleArticle 19
KUTOKA BUNGE LA KATIBA No.1. Makamu Mwenyekiti wa Kamati namba kumi(10) Salmin Awadh Salmin akiwasilisha uchambuzi wa Kamati yake wa sura ya kwanza na sita ya rasimu ya Katiba mpya jana mjini Dodoma....
View ArticleArticle 18
MAFUNZO YA KUPUNGUZA MADHARA YA MAAFA NA KUTOA MSAADA WA DHARURA Na Mwandishi WetuWito huo umetolewa na Afisa Kilimo, Chakula na Ushirika kutoka Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, Valerian Vitalis...
View Article