UZINDUZI MADARASA CHUO CHA SAYANSI YA AFYA MBWENI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha Taaluma za Sayansi ya Afya,Dk.Haji Mwita,alipotembelea kuona vifaa mbali mbali...
View ArticleNAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA MKOANI IRINGA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio za Bendera. Wamama kutoka mkoa wa Iringa wakicheza...
View ArticleSTARS YAMALIZA VIBAYA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA
BANJUL, GambiaTaifa Stars imemaliza vibaya mechi za mchujo za Kombe la Dunia, Kanda ya Afrika baada ya kufungwa na Gambia huku Kocha Kim Poulsen akisema timu yake imefungwa mabao mepesi.Wenyeji Gambia...
View ArticleBenki ya Exim yapiga tafu mfuko wa udhamini wa Benki Kuu
Kaimu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) , Sera za Uchumi na Fedha Dkt. Natu Mwamba (kushoto) akipokea hundl la shilingi milioni kumi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant...
View ArticleSIKILIZA KIPINDI CHA INJILI KUTOKA SWAHILI RADIO NA MTANGAZAJI WAKO MARY MGAWE
LEO JUMAPILI SEPTEMBA 08, 2013 KATIKA KIPINDI CHA INJILI SWAHILI RADIO Muasisi na aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dkt. Moses Kulola enzi wa Uhai wakeMtangazi wako Mary Mgawe...
View ArticleNdugai atakuwa wa kwanza kuhatarisha Amani ya Nchi
Na Bryceson MathiasKWA muda mrefu nimekuwa simuelewi, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, kama yale anayoyafanya akiwa kwenye kiti cha Spika huwa anayafanya kwa maslahi...
View ArticleNARIETHA BONIFACE ATWAA TAJI LA REDD’S MISS TANZANIA TOP MODEL
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania...
View ArticleKUMI MBARONI KWA WIZI WA KAZI ZA WASANII
MKURUGENZI wa Msama Auction Mart, Alex Msama akifafanua jambo jijini Dar es Salaam, leo, kuhusu kukamatwa kwa wafanyabiashara haramu kumi wa kazi za wasanii pamoja na mashine zao za kudurufu katika CD...
View ArticleWASANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA WANOGESHA TAMASHA LA "TUKO WANGAPI? TULIZANA"
Wafanyakazi wa Tulizana wakiwaamasisha wananchi waliofika kwenye viwanja vya Leaders Clubs kupima Virus vya Ukimwi na pia kutoa elimu ya maambukizi ya Virus hivyoMmoja wa wafanyakazi akimweleza jambo...
View ArticleWANAHABARI TUJITOKEZE KUMSAIDIA MWENZETU ZUBERI MUSSA- MPIGA PICHA WA...
Zuberi Mussa katika mwonekano wa picha tofauti tofauti nje ya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Mazinde.Zuberi Mussa (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Mwandishi Dotto Mwaibale (kushoto), Mashaka...
View ArticleMAENDELEO BANK YAANZA KUTOA HUDUMA
Sekta ya fedha ni kati ya sekta zinazokuwa kwa kasi sana nchini Tanzania. Hadi sasa kuna zaidi ya mabenki 50 yanayotoa huduma nchini Tanzania. Pamoja na ukuaji huu mahitaji ya sekta hii ya fedha...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEGA, APOKEA PIKIPIKI 9 KUTOKA...
Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye ukiwasili katika mji wa Nzega Katika wilaya hiyo Tayari kwa kuanza...
View ArticleAirtel yatosha yaendelea kuwapa washindi mamilioni
Furaha ya ushindi. Mshindi wa promosheni ya Airtel inayofahamika kwa jina la Airtel yatosha shinda nyumba 3, Bw. Hashim Mtindo mkazi wa Kigamboni akiwa ameshikilia pesa zake baada ya kukabidhiwa...
View ArticleNdugai alipotaja mapungufu ya wapiga kura wake na ya Watanzania
Na Bryceson MathiasNAIBU Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai, katika Mkutano wa 12 wa kikao cha 2 cha Bunge Dodoma Jumatano, Agost 28, 2013, alishindwa kuvumilia na kuficha hisia...
View ArticleKIMONDO KUCHEZA MBOZI, KURUGENZI WAMBI FDL
Timu za Kimondo SC ya Mbeya na Kurugenzi ya Mafinga zitatumia viwanja vya Mbozi na Mafinga kwa ajili ya mechi za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) inayoanza Jumamosi (Septemba 14 mwaka huu).Kimondo SC sasa...
View ArticleKING PROMOTERS YAMKABIDHI CHETI ALEX MSAMA
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akipokea cheti kutoka kwa Mwandaaji wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala kutokana na kutambua mchango wake katika kufanikisha shindano la Redd's Miss...
View Article"KILI MUSIC TOUR 2013" KUHITIMISHWA JIJINI DAR JUMAMOSI
Hitimisho la Kili Music Tour 2013. Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo kuhusiana na tamasha kubwa la "Kili Music Tour...
View ArticleKATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI MKOANI SHINYANGA NA KUANZA...
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Khamis Mgeja Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga mara baada ya kupokelewa katika mji mdogo wa Isaka Viongozi mbalimbali wa Chama wakimpokea...
View ArticleNingekuwa Pindi Chana, Ningejiuzulu na kuiomba radhi Jamii!
Na Bryceson MathiasKUTOKANA na kinachoonekana kuwa Mwavuli wa Pindi Chana uliokusudiwa Kuifunika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukivusha katika Mchakatao wa Mapendekezo ya Katiba Mpya Umetoboka!.Ingawa...
View Article