KONGAMANO LA WILDAF LA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Mkurugenzi wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WILDAF), Dk Judith Odunga akizungumza na washiriki wa kongamano la Siku ya Wanawake Duniani lililofanyika Dar es Salaam....
View ArticleMANISPAA YA UBUNGO YABAINISHA MPANGO WA KUKUZA UCHUMI NA KUPUNGUZA UMASIKINI...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe Boniface Jacob akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake. (Picha zote na Nassir Bakari).Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe Boniface Jacob...
View ArticleMAMIA WAMZIKA MAMA MDOGO WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuberi, akiongoza sala ya maiti ya mama mdogo wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete mjini Bagamoyo. (Picha na Said Powa). Waziri Mkuu mstaafu, Kassim...
View ArticleTANESCO YATOA SIKU 14 KWA WADAIWA BILI ZA UMEME KULIPA, VINGINEVYO HUDUMA YA...
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidSHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limetoa siku 14 kwa Wateja wake wote linalowadai kulipa madeni yao, vinginevyo litasitisha utoaji wa huduma ya nishati kwa...
View ArticleTamasha la Pasaka kufanyika Uwanja wa Uhuru
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha Pasaka, Alex Msama, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu maandalizi ya tamasha hilo litakalofanyika Aprili 16 kwenye Uwanja wa...
View ArticleBENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA KATIKA TAASISI YA SARATANI OCEAN ROAD
Naibu Mkurugenzi Mtendaji Huduma Shirikishi wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka, akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa tiba kwa uongozi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. Kushoto ni...
View ArticleRAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI MJINI DODOMA
Rais John Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na...
View ArticleSSRA WAADHIMISHA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI KWA KUTOA MISAADA HOSPITALI YA...
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) wakiwa na baadhi ya vifaa kwa ajili ya kukabidhi Hospitali ya Mwananyamala, jijini Dar es Salaam, ikiwa ni katika...
View ArticleNSSF YAHAMASISHA WAKULIMA
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Tumaini Magesa, akizungumza na viongozi wa Vyama vya Ushirika wa Mazao (AMCOS), wakati wa uhamasishaji wakulima wilayani humo. Mpango huo umeanzishwa na NSSF kwa ushirikiano...
View ArticleCRDB BENKI YAFUNIKA TULIA MARATHON JIJINI MBEYA
Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson akipokelewa na Mkurugenzi wa Masoko, Tully Mwambapa, wakati wa mashindano ya mbio za Tulia Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya leo....
View ArticleNSSF YADHAMINI MBIO ZA TULIA MARATHON
Shirika la Hifadhi ya Jamii NSSF limedhamini na kushiriki katika mbio za Tulia Marathon zilizofanyika mkoani mbeya Machi 11. Mgeni rasmi wa mbio hizo mh. Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Nape...
View ArticleKIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA
Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akipokewa na Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana alipowasili Makao Makuu ya CCM, mjiniDodoma leo kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM. Mwenyekiti wa CCM, Rais...
View ArticleMKUTANO WA MBUNGE WA MBUNGE LEMA
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, (CHADEMA), akiongea na wananchi kwenye Uwanja wa shule ya msingi Ngarenaro jijini Arusha. (Picha na Grace Macha)
View ArticleMKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI ASHIRIKI MISA YA NJIA YA MSALABA KATIKA...
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijumuika na waumini wengine katika misa ya Njia ya Msalaba katika Kanisa Kuu la Katoliki la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mjini Dodoma.Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli...
View ArticleMALINZI KUFUNGA KOZI YA MAKOCHA
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi kesho Jumatatu, Machi 13, 2017 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kufunga kozi ya ukocha ngazi ya ‘Intermidiate’ kwa...
View ArticleGERMANY REQUESTS FOR TANZANIA’S SUPPORT FOR UN SECURITY COUNCIL SEAT
Staff Writer, Tanzania Information services- MAELEZOGermany has requested Tanzania to support its candidacy for the United Nations’ Security Council seat at the elections scheduled for June...
View ArticleKAMPUNI YA OVANS YAKARABATI UWANJA WA MICHEZO WA SHULE YA MSINGI MBINGA
NA STEPHANO MANGO,MBINGA KATIKA kuhakikisha kwamba jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali ya awamu ya tano hapa nchini zinaendelea kuungwa mkono, Kampuni ya Ovans Construction Limited iliyopo...
View ArticleDC Chunya awataka wauazaji wa viroba kujisalimisha
NA KENNETH NGELESI, CHUNYAMWENYEKITI wa kamati ya Ulinzi na Usalama na Mkuu wa Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya Rehema Madusa amewataka wafanyabiashara wote walioficha pombe kali zilizofungashiwa kwenye...
View ArticleMGWATU AWAAGIZA WATUMISHI KUZIBA MIANYA YA UVUJAJI MAPATO VIVUKO VYA...
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu akijibu swali la mmoja wa wafanyakazi wa vivuko vya Kigongo/ Busisi wakati alipokua akisikiliza changamoto na kero zinazowakabili...
View ArticleKINANA AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MABADILIKO NDANI YA CHAMA KWA WENYEKITI NA...
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akifungua semina elekezi kuhusu mabadiliko ndani ya Chama, kwa Wenyeviti na Makatibu wa mikoa na wa wilaya na watendaji, leo katika Ukumbi wa Sekretarieti katika...
View Article