$ 0 0 Rais John Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri mjini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ikulu).