Quantcast
Channel: HABARI MSETO BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

USIMIKAJI WA MIFUMO YA UMEME, TEHAMA, VIYOYOZI PAMOJA NA USHAURI WA KIHANDISI UNAOTOLEWA NA TEMESA KATIKA MAJENGO YA SERIKALI MJINI DODOMA

$
0
0
Jengo Jipya la Bodi ya Mfuko wa Barabara lililopo mjini Dodoma ambako Idara ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imetoa ushauri wa kihandisi katika usimikaji wa mifumo ya TEHAMA, Umeme, Viyoyozi, lifti na Kangavuke.
Jengo jipya la Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma, ambako Idara ya Ushauri ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) imetoa ushauri wa kihandisi pamoja na kufanya usimikaji wa mifumo ya TEHAMA, Umeme na Viyoyozi.
 Mafundi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) wakifanya kazi ya kusimika mifumo ya TEHAMA katika jengo jipya la Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma.
Fundi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) akifanya kazi ya kusimika mifumo ya umeme katika jengo jipya la Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma.
Fundi kutoka Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) akifanya kazi ya kufunga taa katika jengo jipya la Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano lililopo mtaa wa Moshi mjini Dodoma. Picha na Theresia Mwami – TEMESA

Viewing all articles
Browse latest Browse all 19659

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>