UZINDUZI WA ZAHANATI YA POLISI ZANZIBAR
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akipokea zawadi ya mfano wa mashua kutoka kwa mwakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi cha shehia ya Stone Town, Saidi Mkweche wakati wa sherehe za...
View ArticleWashindi watatu wa Tigo “Miliki Biashara Yako” ibuka na Bajaji wapatikana
1. Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga (kulia) akizungumza na mmoja wa washindi watatu wa "Miliki Biashara Yako" katika droo ya kwanza ya promosheni hiyo mapema jana. Katikati ni Bi. Chiku Saleh,...
View ArticleRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA MAZISHI YA WANAJESHI LEO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, (wa tatu kulia) akijumuika na Vingozi na Waislamu wengine katika kuwaswalia Merehemu Sgt. Shaibu Shehe Othman, na Cpl...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MAKAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa wajumbe wa Chama cha Makampuni ya Simu za mkononi na Bw. Manoj Kohli wa Airtel ambaye pia ni Mkurugenzi wa Pamoja wa chama hicho alipokutana nao kwa...
View ArticleKKKT Dodoma kutumia Mil.32.9 kumalizia Nyumba ya Askofu Ngowo
Askofu wa Dayosisi ya Dodoma Amoni Kinyunyu akiwa na Kamati ya kumalizia Nyumba ya Askofu Mstaafu Festo Ngowo.Na Bryceson Mathias, DodomaASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DK. BILAL AFUTARU NA WANANCHI MKOANI ARUSHA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, (wa tano kutoka kushoto) akishiriki swala ya Magharibi na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wa Mkoani Arusha, wakati...
View ArticleEXIM BANK YAPATA CHETI CHA UTAMBUZI KWA KUFANIKISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim Anthony Grant (kulia) akijadiliana na mabalozi wanaowakilisha nchi mbali mbali hapa Tanzania jijini Dar es Salaam jana baada kupokea cheti cha kutambua mchago wa...
View ArticleMahojiano na wadau wa GENN Radio (Kansas U.S.A)
Katika beti hii tunawakaribisha sana katika Mahojiano haya baina ya Jamii Production na wadau wakuu wa Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani.Katika mahojiano...
View ArticleJOSE MOURINHO AZIDI KUMTEGA WAYNE ROONEY
KUALA LUMPUR, Malaysia“Nitawachagua wachezaji wa England katika kikosi changu kwa ajili ya timu ya taifa na nitawachagua wao kwa ajili ya kocha wa timu yao ya taifa. Nitafanya kila kitu kwa wachezaji...
View ArticleBARCELONA: MAN UNITED INAPOTEZA MUDA TU!
BARCELONA, HispaniaChanzo cha ndani klabuni Nou Camp kimefichua kwamba, Rais wa Barca amesisitiza kuwa klabu yake haitomuuza kiungo wake Fabregas, hata kama Man United itatuma ofa ya tatu - baada ya...
View ArticleRAIS KIKWETE AWASILI BUKOBA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU SITA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa mkoa wa Kagera Mhe. Fabia Massawe baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Bukoba leo tayari kuanza ziara ya kikazi ya siku sita mkoani humo. Rais...
View ArticleSWAHILI TV MTAANI KUNANI
Na Alex KassuwiKwa wanakijiji wenzangu, miaka 30 iliyopita nisingeliweza kuamini ninayo yaona na kuishi hivi sasa. Kwa kifupi tuliona waakija kijijini kama mapadri, wataalamu waa mashirika toka nje ama...
View ArticleMWANALYAKU-MWANZA MABINGWA BALIMI NGOMA KANDA YA ZIWA 2013.
Mabingwa wa Mashindano ya Ngoma Kanda ya Ziwa yanayojulikana kwa Balimi Ngoma Festival 2013,kikundi cha Mwanalyaku kutoka Wilani Magu Mkoani Mwanza wakishangilia na Kombe mara baada ya kuibuka...
View ArticleTAIFA STARS YATUA UGANDA KUIVAA THE CRANES
Wachezaji wa timu ya Taifa Stars na viongozi wao wakiwasili nchini Uganda kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya The Cranes.KAMPALA, UgandaTaifa Stars imewasili salama hapa Kampala tayari kwa mechi ya...
View ArticleBINTI APOTEA AKIELEKEA SHULENI TANGU JUMATATU 22 MWEZI HUU
Pichani ni Mather Joseph mwenye umri wa mika 16. ni manfunzi wa Chuo cha ufundi cha St. Peter Parish aliondoka nyumbani akielekea shuleni huko Oysterbay akiwa amevalia ngua za shule sketi ya damu ya...
View ArticleUBALOZI WA MAREKANI WAIPONGEZA TTCL KWA KUTOA HUDUMA BORA ZA MAWASILIANO...
Kiongozi wa ujumbe kutoka ubalozi wa Marekani hapa nchini Bw.Jeff Shrader akitoa shukrani zake kwa uongozi na wafanyakazi wa TTCL alipotembelea makao makuu ya Kampuni hiyo. Afisa Mkuu wa Mauzo na...
View ArticleUzazi pasipo mipango unavyowatesa wanawake Kishapu
Bi. Rejina Moshwa (37) mkazi wa Kijiji cha Isoso akizungumza na mwandishi wa habari kutoka Clouds FM, Aziz KindambaPaschal Kulwa Manyinzi (42) mkazi wa Kijiji cha Isoso akiwa katika picha na baadhi ya...
View ArticleBENKI YA WATU WA ZANZIBAR (PBZ) WAFUTARI
ais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Watu wa Zanzibar Abdullrahman Mwinyijumbe,...
View ArticleJICA YAIKABIDHI TANESCO TRANSFOMA MPYA
KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme (Tanesco), Felchesmi Mramba amesema kuwa, asilimia 90 ya ukatikaji wa umeme nchini unasababishwa na miti kugusa nyaya.Mramba alisema hayo leo baada ya...
View ArticleBAYERN MUNICH YAICHAPA BARCELONA 2-0 NA KUTWAA KOMBE LA ULI HOENESS
Daniel van Buyten (katika) akinyanyua juu Kombe la Uli Hoeness, ambalo Bayern Munich ilitwaa jana usiku baada ya kuichapa Barcelona ya Hispania kwa mabao 2-0.Wachezaji wa Bayern wakipozi kwa picha...
View Article